Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,591
- 2,383
Subiri watoke kwenye uokoaji watakujibu Mimi nipo pembeni nitakuwa msomajiHabari za weekend waungwana wenye akili zilizotimilika!
Kama mada inavyosema hapo juu kwakweli wanaume wa mkoani haswa kanda ya ziwa mmetuabisha wanaume wa Tanzania.
Kitendo cha wanaume hao kuogopa Giza katika tukio la kupotea kwa ndugu zetu majini. Kwa kweli kama msemaji wa wanaume wa Dar tumewashusha vyeo
Sasa nyie mnaweza nini kama Giza tu mnaogopa! Ama kweli wakuja ni wakuja
Mshaanza visingizio....hamuishi vitukoTulitaka tufanye uokozi usiku kucha tukafukuzwa na CCM!
Kazi wanayoweza kuifanya kwenye Giza ni kula papuchies hapo ndo hua wanazima kabisa taa.Habari za weekend waungwana wenye akili zilizotimilika!
Kama mada inavyosema hapo juu kwakweli wanaume wa mkoani haswa kanda ya ziwa mmetuabisha wanaume wa Tanzania.
Kitendo cha wanaume hao kuogopa Giza katika tukio la kupotea kwa ndugu zetu majini. Kwa kweli kama msemaji wa wanaume wa Dar tumewashusha vyeo
Sasa nyie mnaweza nini kama Giza tu mnaogopa! Ama kweli wakuja ni wakuja
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hehehehe jitu lina mwili mkubwa linaogopa giza
CHADEMA inawaombea kheri watanzania wote.Mungu awalindeC C M inawatakia asubuhi njema!
Mm si wa huko. Lakin nadhan mkuu wa mkoa kama mwakikishi wa rais ktk mkoa husika alisitisha zoezi. Ina maa a yoyote ambae angendelee nalo angekamatwa.Mshaanza visingizio....hamuishi vituko
Hakuna wanaume wa mkoani wange chachamaa hakuna kitu wngeshindwaMm si wa huko. Lakin nadhan mkuu wa mkoa kama mwakikishi wa rais ktk mkoa husika alisitisha zoezi. Ina maa a yoyote ambae angendelee nalo angekamatwa.
Lawama zangu zite kwa RC na si wanaume wa huko