Wanaume wa Marekani mna nini?

Hamisi umewapa nini watoto, kila mtu hamisi wangu hamisi wangu. lol.
 
Hebu njoo nikukague kama kweli hujachapa we sukuma
 
Hahhahahahahah evidence ziliwekwa bhana yaani ile ni kama cyber bullying za mange kimambi mpaka rangi chupi ilitajwa na number ya dudes who hitted it per year was mentioned full specifications.

Kuna mdau anaitwa spartakas mcheki huko pm akupe mkanda maana kuna watu wanaoneka very innocent kumbe ni certified public sluts CPS .

Niishie hapa maana tushaanza kuonekama "wabongo nuksi" kama sio "wapambe nuksi"

Muone spartakas pm akupe mkanda maana ndo mwenye evidences zote

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji119]
 
"Mfano, baharia kila leo ameambatana na lundo la wasichana pamoja na uzee wake wote"


Ha ha ha Haa mi nimepapenda tu hapa
 
nimepata motisha ya kuondoka JF kwa muda. milele siwezi.
 
sa wanajuaje unaish mbele au watoto wote wa high school wanafaham unaish mbele au unajiongelesha sana (i , you , we , they)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…