Wanaume wa Marekani mna nini?

Kwahio hivyo ndio vitu wakikuona navyo wanashoboka?!!

Mi sijui kama wakiniona navyo wanashoboka.

Huwa najali mambo yangu tu.

Labda hilo swali ungewauliza wenyewe maana mimi sijawahi kuwauliza.
 
Mi sijui kama wakiniona navyo wanashoboka.

Huwa najali mambo yangu tu.

Labda hilo swali ungewauliza wenyewe maana mimi sijawahi kuwauliza.
Ok nilifikiri na wewe unashobokewa na mj zako za USA.
 
Ok nilifikiri na wewe unashobokewa na mj zako za USA.

Inawezekana nashobokewa lakini sijui...

Na nimetolea mfano wa 23s kwa sababu hizo zinajulikana zaidi.

Ningeweza kuweka Florsheim na Donald J. Pliner na watu mkatoka kapa!

Na hapo najua watu mta Google kutaka kujua ni vitu gani hivyo😀😀😀.
 
Ningetoka kapa,ila ungekuwa umenisaidia kujua ni nini....kama sasa hivi nishajua ni nini?
 
Zinatengenezwa Asia zinapelekwa US then tunauziwa.

Product design inafanyika Marekani. Huko Asia vinashonwa tu.

Na vinavyopelekwa Marekani kuuzwa Marekani vinakidhi viwango.

Vinavyouzwa Kariakoo ni feki.
 
Hahaha. Talk about flexing, almost nobody does it better man. Got to give you that.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe mtoto wewe?
Eti karudi na bukta 2!lol
Usisahau pia alirudi na 500$ baada ya miaka 30!!!
ahahaaa mzee wa mabebs alikuja na hela hyo tena enzi hizo exchange rate si ilikuwa elf bongo?
 
Hapo kwenye mawasiliano umenena,mwingine unachart nae ni kama unalazimisha,msg zake kifupifupi unahamu ya kuchart nae lakini ye wala haoni uzito hapo akitokea wa kukupa company ndio hivo unaanza kuhamisha hisia taratibu
 
Uliwe kwa sababu tu ya kuchat, duh, wewe kiboko! Jamaa yako yuko busy anapiga kazi kwa ajili yako, wewe unawaza kuchat naye, ukiona harespond, unaanza kuwaza dushe la mtu mwingine! Nomaaaaaaaa!
 
That one there is the effect of brainwashing masela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…