Wanaume wa Marekani mna nini?


Stress in town!
 

USA baby
 

Anakutaka huyo, hujajua tu.
 
Nimecheka mpaka nimejamba
 
Mmmh hamna bana, huko umeenda mbali sana.

Wadada wa humu wana stress sema wewe hujawajua tu, wakikutaka hlafu na wewe unonekana kama hujali ndio mambo kama haya hutokea. Sasa huko PM ungemtongoza kizushi na kumpambapamba kizushi, angepunguza stress. Wewe mtu akufuate pm ati anakuuliza namna ya kupata visa ya kwenda USA? Wewe ni ubalozi wa USA! U missed her point.
 
PM yako wadada ndio wanakufataga au wewe ndio unawafata? Mana inaonyesha kama unatujua vile
 


Dude take a chill pill and think using your upstairs. Where did I indicate following him on pm to ask on to get visa? U are the one who missed a hell pont. You jumped into a bandwagon clueless on how to get a visa, leave alone a dream to get there drunk man. You are under influence.
 

Walewale tu, stress kibao unatafuta visa ya USA JF!
 
PM yako wadada ndio wanakufataga au wewe ndio unawafata? Mana inaonyesha kama unatujua vile

Wewe acha woga, nipm, "win my heart". Mwenzako kaja na stress anatafuta visa ya USA JF, tena MMU!
 
Mimi nilikuja huko Tanzania kusalimia wazazi nikitokea USA yaani ndani ya wiki moja tu walinishobokea wake za watu wasiopungua kumi na mbili. Niligegeda watatu wengine nikawayeyusha, saizi huwa wananisumbua sana eti nirudi tena Tz niwagegede. Nimewaahidi kurudi mwakani lakini ninawadanganya tu kwani saizi nina kazi nyingi sana hapa USA ikiwa ni utekelezaji wa plan ya miaka saba na huu ndo mwaka wa tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…