Wanaume wa kizazi hiki wana shida gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume wa kizazi hiki wana shida gani?

Discussion in 'JF Doctor' started by God bell, Oct 22, 2011.

 1. God bell

  God bell JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 581
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Inashangaza sana kila baada ya cku 2 au 3 inatoka thread ya wanaume wanalalamika kuhusu kupungukiwa na nguvu za kiume. Kwa mtazamo wangu wa haraka haraka inaonekana more than 70% of men are now suffering from this kind of desease. Sasa nataka kujua shida ni nini? na utatuzi wake ni upi manake huku tunakoelekea wanaume wote watakuwa wameathirika na huu ugonjwa. Ni kweli kwamba ndoa nyingi sasa hv zinavunjika kwa kuchangiwa na hili tatizo la wanaume kukosa uwezo wa kuwatimizia.
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ni kweli tatizo lipo tena saana kwa wanaume na mara kadhaa hudiriki kunywa madawa kabla ya kufanya jambo hilo walau kwa dakika/masaa kadhaa. Mimi ni HE ila nawashuhudia sana vijana wenzangu kwa jinsi wanavyoulizia supu mbalimbali ziwawezeshe kumudu tendo hilo halaal kwa waliohalalishwa tu. Kimsingi vyakula ndivyo tatizo kubwa, kwetu sie tuliokulia keki-BOGA, juice-TOGWA, ice cream-MUWA, soup-KISAMVU/MSUSA CHUPUCHUPU ndio walau tuna nguvu ya hata kumudu kwa dk.10 pasipo kutumia virutubisho vyovyote kabla ya tendo halaal. Na ndoa nyingi huyumbishwa kwa jambo hilo tu, utulivu hukosekana kwani SHE wengi hawafikidhiwi haja zao (kwa waliohalalishwa tu).
   
 3. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Kila kitu hakikukaa sawa tu, walipoanza kuvaa hereni, kusuka nywele, na mengineyo ya ajabu tu wakaanza kufanana na SHE. Mungu hadhihakiwi. Tuombe rehema tu hapa.
   
 4. King2

  King2 JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  MBONA NYIE WANAWAKE MBONA MNA' MATATIZO YENU KAMA KANSA YA MATITI, FISTULA N.k..LABDA MNAONA AIBU KUYAWEKA HUMU JF.
   
 5. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Tatizo ni hizi net+chanjo za misaada.nukta
   
 6. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  tatizo ni kwamba wanaanza kuzini kabla ya ndoa..kwa mfano mtu akianza ngono akiwa na 17yrs na akawa anafanya almost 3-5 times per week sasa fikiria mpaka anaamua kuoa akiwa katika late 20ies.. Almost over ten years in the game+ misosi tunayokula+ life style ya kibongo..lazima utepete tu.
   
 7. kipusy

  kipusy JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  :juggle:
   
 8. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni openness tu. Watu siku hizi wako very open tofauti na wazee wetu.
  Wazee wetu walikuwa hawajali kumridhisha mwanamke, na wanawake walikuwa na miiko ya kuzungumzia wanaume wao.
   
 9. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,872
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  Kama unaona ni tatizo na unazo strong hypothesis. Fanya research nzuri tu tena kuptia hapa hapa. just creat a questionnaire. Ili mradi maswali yawe mafupi na very objective, measurable. Uainishe maswali kwa a kina baba na maswali to wanawake. You can cnsult me tufanye study na tnaweza kupublish. If REAL YOUR SERIOUS NA si story za hapa na pale.
   
 10. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Miaka iliyopita ilikuwa si kawaida kwa mwanamke kumuambia mumewe anataka mchezo! Kwa kawaida wanaume ndo huwa wanaanzisha game nyumbani! Hii iliwasaidia sana wanaume kuweza kukaaa hata miezi miwili bila kumshughulikia mkewe na mwanamke hadhubutu kuuliza na inabaki kuwa ni Siri ya mume kuwa hayuko fiti. Maana wengine akicheza game Leo inabidi akae two month ndo acheze tena. Lakini siku hizi uwazi umeongezeka na malavidavi inasababisha wanawake kuwajua vizuri waume wao pamoja na mapungufu yao. Othewiz haya matatizo hayajaanza Leo yapo tangu enzi. Uzuri wa watu wa Zamani walitumia vyakula maalumu pamoja na matunda ili kuwapa uwezo bila kificho. Lakini siku hizi ukiona mtu anakula mkuyati watu wanamshangaa na kunyooshewa vidole. Someni history mtajua haya mambo vizuri. Tofautu yetu na wale ni kuwa walitumia mizizi na sisi tunatumia viagara n.k ambazo zinazidi kutuua.
   
 11. P

  PauliMasao JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 26, 2007
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nina wasi wasi mkubwa sana na hii generation ya vijana (wavulana na wasichana) kati ya umri wa miaka 14 mpaka 26. Zamani ilikuwa ni vigumu sana kumpata msichana, ilikuwa unamtongoza msichana kwa miezi sita au mwaka mzima bila kuona ndani! Siku hizi, kwanza ni tendo la ndoa halafu unamwuliza ehe jina lako nani! Rika hili wamekuwa walevi, utawakuta kwenye madisco wanakunywa kila aina ya pombe hasa vinywaji vikali tofauti na zamani ambapo vinywaji kama whisky vilikuwa vinanywewa na watu wazima wenye pesa zao. Hili la kutumia madawa ya kuwasaidia nguvu za kiume nimelisikia pia na niana rafiki yangu mwenye pharmacy aliniambia wateja wake wengi wanaotumia dawa hizo ni vijana wadogo. Sasa hawa vijana wakifika miaka 30 hivi watakuwa watu wa aina gani? Sishangai kuona wasichana wadogo wakitembea na watu wazima siku hizi kwa sababu watu wazima wana ujuzi wa kutosha na huwatosheleza vizuri sexually.
   
 12. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Wao wanficha cc 2naweka jamvini ndo wanaona kama cc ndo 2na matatizo sanaaa.
   
 13. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #13
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  Napata shida kumtambua mtoto wa kiume anayevaa hivi vitu............hata kama ni urembo jamani......wanaume twajiremba ili iweje? Na hata haya masuala ya poda................dah haya bana!:embarassed2:
   
 14. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hahahahaha.......kwenye red sina uhakika sana ila lishe / vyakula vya kisasa(hips mayai), mwenendo wa maisha ya kisasa, ugumu wa maisha, utandawazi yote hayo na mengineyo ni vichocheo kuharibu ofisi ( vyakula vya asili zimekosa watumiaji
   
 15. S

  Shedrack msechu New Member

  #15
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wote mmechangia sawasawa mi nitaweka sapoti 2 kwa hayo yaliyozungumzwa humu mi nahisi ni vyakula tunavyokula hasa mafuta ya kupika ndo sababu kubwa
   
 16. b

  bibi.com JF-Expert Member

  #16
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 1,155
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  we huoni hata majukumu yao hawajui tena wanataka walelewe walishwe wavalishwe unafikiri na nguvu watazitoa wapi!! inabidi wanasayansi wafanye utafiti maana naona tunaaanza kuwa na wanaume wengi wenye tabia za kike mpk kuishiwa na nguvu za kiume mpk kuwa malege lege maamuzi magumu hakuna. we angalia hata vitoto vya kiume vinavyozaliwa siku vingi vina sura za kike
   
 17. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yote mmeongea je suluhisho ni nn? nafikiri tuongelee hilo zaidi mana imekuwa ni janga la kitaifa
   
 18. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #18
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni kubadili aina ya chakula,staili ya maisha,kufanya mazoezi mara kwa mara husaidia kujenga mwili na akili,mda wa kutosha wa kupumzika,vingine mtaongezea wadau...........
   
 19. M

  Mary Glory Senior Member

  #19
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  let me reserve my coments.lakini ukiona moshi nafuka ujue moto utawaka tu.
   
Loading...