Jamani jamani vijana wa leo!!! Badilikeni, kuleni vyakula vya kujenga afya acheni michipsi ya gengeni, acheni kula bugger,
Mwanaume unatakiwa kula mboga mboga, ugali, Dagaa, samaki., maharage....matunda nk.....mjenge afya zenu...
Kula ugali au vyakula vya kuchemsha si ushamba au umasikiniii jamani ni afya....
Wanaume vijana wa leo asilimia kubwa nguvu hawana kabisaa akipanda sekunde kashashuka lol !!! Mtaibiwa wake na girlfriend zenu hakiyanani...
Tutaibiwa na nani maana umesema wanaume wa kileo? Au tutaibiwa na vijana wa kesho na wababu jana?
Binafsi hizi mada zenu za kutaka wanaume wawe slaves wa kuwarizisha bila nyie kubadilisha maono, u-drama queen,umalaya, kufutuka tu kuwa kama maputo, ubinafsi, akili za ku-copy na ku-paste!
Kwa maono yangu hamna hata thamani za mama zenu, mmechoka balaa, chini hamna ladha kama kutafuna taulo liloloa!
Binafsi ni bora nijitume kwa Mmama wa miaka 45 kwenda juu bila hata kuhitaji chochote coz wana ladha kuliko haya matapu tapu ya umri wangu
Nani anataka kujututumua kwa kitu kisicho na adhi ya kujitutumua!
Same old story
Same old story
. Upo ?Watu wanaposti tuu week ilopita ilikuwepo....
wewe mwanaume wa lini?
Come and see for yourself
mmmmmmhhh!
Mnhhhhhhh Unakuja au huamini?
hahaha!! nakuja sijipendi au? lol