Ipi heri kuoa wake wengi wanaojulikana au kuwa na michepuko kisa dini inataka uoe mke mmoja?
Wanaume wa kikristo mnatudanganya mmeao mke mmoja lkn kumbe mna wake wa siri zaid ya 20!
Heri mje huku kwetu unaoa mpaka wake wa nne kwa raha zako!
Nasikia huko wanapooa wake wengi wakifika peponi wanaongezewa wake wengine 70.Ipi heri kuoa wake wengi wanaojulikana au kuwa na michepuko kisa dini inataka uoe mke mmoja?
Wanaume wa kikristo mnatudanganya mmeao mke mmoja lkn kumbe mna wake wa siri zaid ya 20!
Heri mje huku kwetu unaoa mpaka wake wa nne kwa raha zako!
Nyie kwa hiyo ushanipa upande?Ila nyie mmezidi mpaka madrii na masister lo!
nambie kamanda! upo?Mambo! Uko poa rafiki?
Umejiteka?????Nipo ongeza juhudi kiduchu tu nitakuwa mikononi
Ni muguu[emoji85]No siyo ya kuibadili, mimi tu sijui ni ya kitu gani.
Nimejaribu kuiangalia kwa ukaribu bila mafanikio.
Umejiteka?????