Wanaume wa kihutu

mimi sikioni,now tell me ukionacho cha kufanya
 
on the contrary, they know hapa si kwao they can cheat any woman as it pleases them

in my case wa kwangu alishakuwa MTZ so there is no way eti kuna siku atarudi kwao
 
on the contrary, they know hapa si kwao they can cheat any woman as it pleases them

mdada anasema mwenzie amekuwa ni mtz tayari kwa hio hana pa kwenda tena......nasikitika sana who told her wahindi tunaoishi nao hapa miaka nenda rudi hawajengi kwao......vilevile kwa raia wa nchi zingine km huyo wa Amelie
 
Last edited by a moderator:

very well said, anajidanganya.
 
mimi sikioni,now tell me ukionacho cha kufanya

Unakiona vema sema wajuzi wa mambo wanasema umbali mrefu zaidi binadamu kusafiri ni umbali wa kutoka akilini hadi kwenye matendo...........ANGALIA USALAMA WA WATOTO WAKO KWA KINA ZAIDI, USIFANYE NAYE MAPENZI TENA NA TENA, ACHANA NAE KWA SABABU YA ZINAA BIBILIA INARUHUSU HIVYO.......U M E N I E L E W A?????????

Vinginevyo utakufa wewe na kuacha watoto wako.....jambo la kwanza katika maisha ya kila bnadamu mwenye akili timamu ni usalama wake......U M E N I E L E W A??????
 
i want my kids to grow in a house with both parents
sasa unasumbua watu wakupe ushauri gani ,yaani unaboa sana unauliza maswali yakijinga tu ili thread iongezeke page ili uonekane umepost kitu cha maana kumbe maamuzu ushayagungia kwenye safe na ukatupa baaharini!!!fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
sio kosa lako kwa hiyo,solution kwako ni moja tu,kuachana,wewe utakuwa hujaolewa
 
sio kosa lako kwa hiyo,solution kwako ni moja tu,kuachana,wewe utakuwa hujaolewa

Unachekesha wewe.......jitambue na wewe utuambie solution yako, maana kila solution unayosema inagonga mwamba...hata haieleweki ndio maana watu tunaanza kustuka kuwa pengine huna nia ya kushauriwa ila kujaza page tu!!
 
sasa unasumbua watu wakupe ushauri gani ,yaani unaboa sana unauliza maswali yakijinga tu ili thread iongezeke page ili uonekane umepost kitu cha maana kumbe maamuzu ushayagungia kwenye safe na ukatupa baaharini!!!fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

fyuuuuuuuuuuu kidogo!!!!!
 
Unachekesha wewe.......jitambue na wewe utuambie solution yako, maana kila solution unayosema inagonga mwamba...hata haieleweki ndio maana watu tunaanza kustuka kuwa pengine huna nia ya kushauriwa ila kujaza page tu!!
kuachana haiwezekani,kama hamna solution nyingine kaeni pembeni,hamjalazimishwa kushauri
 
I can assure you that hujapoteza, ni wacha Mungu sana ila huwa hawapendi kucheat wala kuchitiwa

and you can expect the worst UKITU - CHEAT!kaa utulie na ndugu yangu.....si wote ila wengi wetu ni wa kweli,secretive,kazi kutubadilisha msimamo/au mtazamo ila ukishatubadilisha umemaliza!
tuna mapenzi sana ila na wivu pia ni sana..........heshima mbele kwa wapenzi,so tunataraji hivyo toka kwenu....
kama hapend kazi basi ni miongoni mwa hao wachache tu mama/shemeji!
 
inawezekana wewe ni mtu mzuri sana unajua kuwajali wengine kama unavyojijali
 
Mhhhhhhhh! Mungu anisamehe sana, maana naomba nikuulize wewe dada wanatania woooootw hao hukuwaona wa kuwa mumeo mpk ukachukue huko hutu, ? mm nimeishi nao , walikuwa wapangaji wangu kwa kweli ni wakatili saana, mume anampiga mkewe mpk amamvua nguo na shemeji zake wapo hapo wanaangalia bila kujali. kwa kweli mm binafsi niliwashangaa kuwa ni watu wa aina gani. sijui huyo wa kwako ila mimi nawafahamu hivyo.
 
kuachana haiwezekani,kama hamna solution nyingine kaeni pembeni,hamjalazimishwa kushauri
this is idiotic mind yaani heshimu sana mtu anaacha kazi yake kukushauri kwa jambo lako wewe unapost ujinga huu ungekuwa mwerevu ungelingamua mwenyewe sasa uliwaletea wana jf la nini,au ulitaka jf ikushauri utafute na wewe kidumu eeee sie sio wa hivo nenda kule fb -jf we give concrete solution hutaki unaacha
 
dead mind
 
ngoja nikupm
 
Nivea umemaliza......hasa pale kuhusu vidumu...halafu umemalizia kwa kusema ......nenda kule fb -jf we give concrete solution hutaki unaacha!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…