Wanaume wa kihutu

Bora unafahamu kila kitu.......kumbe umeshajitoa mhanga tayari......then no one to blame even yourself.........vp una watoto??????
Yes tunao watatu,kuachana haiwezekani for the sake of my kids
 
bora unafahamu kila kitu.......kumbe umeshajitoa mhanga tayari......then no one to blame even yourself.........vp una watoto??????
swali muhimu sana hili jibu bidadada upewe suluhisho.
Swali huyo mhutu wako ana miaka mingapi-jibu ni muhimu ili nikupe ushauri wangu!!if is 30 yrs and above beter u quite hatakaa aache umalaya mpaka kifo .
 
yes tunao watatu,kuachana haiwezekani for the sake of my kids
stay there a risk taker UKISIKIA KAKUAMBIA NAOMBA WATOTO NIWAPELEKE KWA BIBI YAO HUKO KWAO BILA WEWE KNOW THAT UA BUSINESS IZ OVER
 
stay there a risk taker UKISIKIA KAKUAMBIA NAOMBA WATOTO NIWAPELEKE KWA BIBI YAO HUKO KWAO BILA WEWE KNOW THAT UA BUSINESS IZ OVER
he will never do that
 
stay there a risk taker UKISIKIA KAKUAMBIA NAOMBA WATOTO NIWAPELEKE KWA BIBI YAO HUKO KWAO BILA WEWE KNOW THAT UA BUSINESS IZ OVER

Aisee sidhani km dada wa watu yupo sawa.........mbona akili yake haina ushirikiano na usalama wake na watoto wake?????
 
swali muhimu sana hili jibu bidadada upewe suluhisho.
Swali huyo mhutu wako ana miaka mingapi-jibu ni muhimu ili nikupe ushauri wangu!!if is 30 yrs and above beter u quite hatakaa aache umalaya mpaka kifo .

he is 35,ataacha tu nothing impossible
 
Aisee sidhani km dada wa watu yupo sawa.........mbona akili yake haina ushirikiano na usalama wake na watoto wake?????
kuachana ni among of so many solutions,so in my case kuachana,divorce is never an option,period
 
i want my kids to grow in a house with both parents

What kind of parents? or just and simply named parents?....parents ni viongozi wa familia yani watoto.....when a familiy leader is embicile expect embicile children......yaani naona wewe unategemea kuvuna ambacho hukupanda.....this is only possible at miracles point but not in real ife situations!!!
 
Kiukweli huwa Hawaishi na mke mmoja, na niwachache sana wanadumu na ndoa ya mke 1. Wanawake wa kihutu kwao ni kawaida kwa mme kuwaolea mke wa pili au zaidi, So ikikutokea hivyo usishangae kwao nikitu cha kawaida tu... Nasema hivyo coz kuna rafiki yangu yalimkuta bt yeye alikuwa ni mhutu mwenzao.. Sasa kwa wewe wakwetu sijui atakusamehe au atadumisha tabia za kwao?
 
now tell me if you were you,ungefanya nini?

Bibilia inasisitiza tuwashauri wenye hekima maana watafurahi na kutilia maanani.....lakini inatuonya tusiwashauri wasio na hekima maana wanaweza kututukana na kudharaulika......sio tafsiri rasmi........WEWE HUONI NINI CHA KUFANYA HAPO, AU UNAISHI SAYARI NYINGINE MWENZETU!!!
 
ni kweli nilijaribu kuongea na mama yake,yeye pia alifanyiwa hivyo hivyo,na akasema kwao mwanaume anaweza ondoka hata miaka 10 hajarudi home,na akirudi mke wake anampokea.Mimi tumefunga ndoa ya kikristo mke mmoja milele.Wa kwangu yeye tatizo hacheat na mmoja na anawadanganya kweli mara atawajengea nyumba,a lot of fake promises
 

Good you have very realiable sources of details.......sioni km kuna haja ya kuendelea kuomba ushauri zaidi, labda kwa kujifurahisha tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…