Wanaume wa kihutu

Amelie

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2008
Posts
202
Reaction score
83
Jamani wapenzi naomba mnisaidie sifa za hawa watu,pia na maujanja ya kuishi nao.Maana kwa kweli ni pasua kichwa.Alichokiunganisha MUNGU mwanadamu asikitenganishe
 
sasa wewe waja kuomba msaada wakati ulishajitia pin
 
uchapa kazi kwa kweli ni no moja,ila kwa kucheat wanaongonza,ubaya wao hawacheat na mmoja,najiuliza ili wasicheat nifanye nini?
 
Kwa hiyo umeamua kumpa penzi mhutu,kwa kifupi ni wachapakazi wanafight mpaka last drop ila ukiwaletea za kuleta wanakutelekeza then wanasepa kwao na wakifika huko wanaowowa mwingine

ndo mme wangu,jamani kuhusu kidumu bado sijaamua na ninaogopa kweli
 
mbona huyu mumeo pasua kichwa sana.wale small house tano keshaaziacha?
upo facebook?
 
yule haachi,ni mpaka aachwe,ndio nipo fcbook
ngoja nikupm nikuadd kwa dada mmoja hivi kungwi ana dawa za wanaume wote wabishi.sio libwata mafunzo tu ya kiroho
 
ndo mme wangu,jamani kuhusu kidumu bado sijaamua na ninaogopa kweli

dada yangu ni victim wa wahutu. Nakupa pole. siwezi kumwaga hapa (or you pm) nikawaudhi wengine....lakini kama ni binti akiwa bado hajaolewa, hutu men are not ideal.
 
kumbe ishu ni kwamba anagegeda nje ya ndoa....ah mbona sio jipya hilo. wanaume kibao wanagegeda nje ya ndoa. vumilia tuu ndio the choice u make the price u pay. ndio maana sie wakina mzabzab tupo single maana tunjua ukiingia kwenye ndoa tuu uchelewi kubambikiwa mtoto
 
uchapa kazi kwa kweli ni no moja,ila kwa kucheat wanaongonza,ubaya wao hawacheat na mmoja,najiuliza ili wasicheat nifanye nini?

Mmhhhh...hio sio ndoa rafiki yangu, subiri upatwe na madhara ndio utatia akili...kwa nini uweke maisha yako rehani kiasi hicho?.....au sasa hivi tunaishi kwenye HIV free zone????
 
dada yangu ni victim wa wahutu. Nakupa pole. siwezi kumwaga hapa (or you pm) nikawaudhi wengine....lakini kama ni binti akiwa bado hajaolewa, hutu men are not ideal.

Tusi-generalize Utingo ila tu kuna some of them hawaeleweki like some of other men within the zone......
 
Last edited by a moderator:
ngoja nikupm nikuadd kwa dada mmoja hivi kungwi ana dawa za wanaume wote wabishi.sio libwata mafunzo tu ya kiroho

it can't work ...i guarantee!!!
cheating kwa wanaume ni hadi wapatwe na ya kumpata, ama afanye maamuzi magumu, maana nahisi cheating ipo kwenye damu ya mtu tofauti na jinsi tunavyoangalia juu juu!!!
 
dada yangu ni victim wa wahutu. Nakupa pole. siwezi kumwaga hapa (or you pm) nikawaudhi wengine....lakini kama ni binti akiwa bado hajaolewa, hutu men are not ideal.
ubaya pia hawakubali kosa ni waongo kweli,kila demu wa nje anamwahidi atamjengea nyumba,atanunua gari,aisee hawana huruma
 
nipe maujanja ya kumvumilia basi

Kuvumilia nini????.......dont you see the danger around you?....ndio maana sometimes wanawake mnashindwa kueleweka vyema becoz you dont afford to stand alone when fighting for your breath!!!!

Huoni kuwa upo kwenye 18 ya kifo???...dont you see???...au shetani kakufanya msukule!!!!
 
ubaya pia hawakubali kosa ni waongo kweli,kila demu wa nje anamwahidi atamjengea nyumba,atanunua gari,aisee hawana huruma

Bora unafahamu kila kitu.......kumbe umeshajitoa mhanga tayari......then no one to blame even yourself.........vp una watoto??????
 
Jamani wapenzi naomba mnisaidie sifa za hawa watu,pia na maujanja ya kuishi nao.Maana kwa kweli ni pasua kichwa.Alichokiunganisha MUNGU mwanadamu asikitenganishe


Nimeishi na Wanyarwanda na Warundi haswa nikiwa chuoni na hata sasa nina marafiki kutoka nchi hizo mbili.
Sijawahi kujua makabila yao pamoja na ukaribu nilionao kwao kwani wao hupenda kujitambulisha kwa Utaifa zaidi.
Ila kwa haraka niliweza kugundua ni watu wanaojali sana tamaduni zao kwani ilikuwa ni ngumu kwa wao kutoka na wanawake wa mataifa mengine.
Hata kwa wadada watokeao maneno hayo mawili, ilikuwa ni ngumu kwa sisi wanaume kuweza kudate nao pia.
Jambo kubwa lililofanya waweze kunizoea na kunifanya rafiki, ni aina tu ya muonekano wangu haswa kimo na rangi ya ngozi kwani awali waliamini mimi ni mtu wa kwao kama sio Uganda.
Sasa kwa case yako dada sina uhakika sana mazingira mliyokutana yalikuwa ni wapi, maana katika mahusiano sehemu ya kwanza ya wapenzi kukutana huweza kueleza tabia ya mwanaume kama ni kicheche au lah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…