Wanaume wa kihaya......

Wanaume wa kihaya......

Zakithi

Member
Joined
Jun 17, 2019
Posts
69
Reaction score
72
Katika Safari yangu ya mapenzi/mahusiano enzi hizo ,sifa nyingine ya wanaume nilowahi kutoka nao kimapenzi ni wahaya.Niliwahi toka na wahaya watatu kwa nyakati tofauti hadi nikahisi nina mkosi na wahaya.Sijawah ishi Kanda ya ziwa wote nimekutana nao mjini dsm.

Mhaya wa kwanza;huyu alikuwa anamalizia kozi yake chuo kikuu mwaka wa mwisho ila alinidanganya ashamaliza.alikuwa anakuja anakula kwangu ama anaweza kwambia nina hamu na ndizi nyama na hapo hajatoa hata mia yake,nikirudi nikute chakula tayari.naenda gengeni nanunua mahitaj napika chakula,akija anakula na kusaza na kujitawanya sebuleni kama kwake.halafu alikuwa mchoyo na mbinafsi sana sijawah kutana na mwanaume mchoyo na mwenye umimi Kama yule.

Alikuwa akikuta perfume nzuri kwangu anachukua,vikombe ama sahani nzuri ananambia atanipa hela nikanunue vingine ila hakuwahi toa.akawa akitumia gari langu kwendea kwenye starehe na kuniomba/kuchukua hela zangu kwenye wallet akijidai atarejesha ila hakuwahi fanya hivyo.

mwisho akaniomba nimzalie mtoto tukajaliwa katoto ka kiume,alivyozaliwa tu akasema anaenda kwao kusalimia kumbe alikuwa anampeleka mwanamke kwao kumtambulisha.akagoma ndugu zake na wazazi wake wasijue ana mtoto nami hivyo mtoto yule hajulikani kwao hadi leo.alipofikia hapo nikavunja mahusiano nikampiga na marufuku kufika nilipopanga enzi hizo.

saivi mwanangu ana miaka minne akajileta eti nimpatie mtoto,nikakataa na kuhama nilipokuwa naishi.akampa namba yangu mama yake nikamblock na kubadil namba.nafurahia zawadi ya kitoto cha kiume alichoniachia na akikuwa ntamwambia babake alishakufa tangu akiwa mimba.

Mhaya wa pili;huyu nilikutana naye kazini,akaonyesha mapenzi kwelikweli nami,uzuri hakuwa bahili wala mchoyo kama wa mwanzo ingawa alinificha kuwa kaoa.siku mmoja nikampigia simu usiku akapokea mwanamke nikakata.baadae nikajagundua ni mkewe.basi nikajitoa kimyakimya,ila akaniomba nisimwache tuendelee kwa siri basi nikakubal ila nikadhamiria moyoni kumchuna kwelikweli.alinipatia plot 3 na hadi documents zimeandikwa majina yangu.maprnz yaliponoga mkewe akagundua tena,tukaamua kuachana kistaarabu iliposhindikana akaja akashtak ofisin kwetu mumewe akahamishiwa mkoa mmoja hivi kanda ya ziwa na ukawa mwisho wa mahusiano yale ya wizi.huyu namkumbuka hadi leo maana alikuwa mtoaji sana na mstaarabu kwelikweli.

Mhaya wa tatu:huyu aliletwa baada ya yule kuhamishwa ofisini kwetu.naye aliponiona tu akaanza nitongoza,nikamweleza kweli kuwa am a single mom naye akajieleza kuwa ana mke na watoto wawili wote wa kike,anatamani baby boy hila mkewe hawezi zaa tena.Akaniomba naye nimzalie baby boy kwa ahadi atanijengea nyumba.kwakuwa nilishazalishwa na lijitu halafu likatokomea sikutaka rudia kosa nikamwambia anijengee kwanza anipe na documents halafu suala la kumzalia liendelee akasita akihisi nitamtapel.basi nimeendelea naye kwani naye si bahili,mkarimu,anajali,mstaarabu.Hila nimetoa mimba zake mbili bila yeye kujua kwani ahadi ya nyumba bado na singependa kurudia makosa.

Dhumuni la uzi mdau anaomba ushauri afanyeje aweze kuvunja hii circle ya kutongozwa ama kudate na wahaya.yeye kabila lake ni mchanganyiko wa mama kutoka mbeya na baba mwera wa mtwara.
 
Bado sijaona shida yoyote hapo vip wa kusini hawamtongozi???,je wakat anakubali wa pili mpaka wa tatu hakuwahi kujua n wahaya??
 
umekuja kutuonyesha jinsi ulivyo changudoa sijui unataka ubanduliwe na wahaya wote
 
Dada katerero zinakuchanganya na wahaya wanatabia za kuambiana tunasema “kuimba kupokezana” jiandae kwa muhaya wa 4
 
Ni watamu? Kuna mmoja nataka nimuonje anaonekana ana kitu adimu hapo chini
 
Aiseeeeeeeeeeeee napita tu..... Subiri upopolewe mawe hapa
 
Katika Safari yangu ya mapenzi/mahusiano enzi hizo ,sifa nyingine ya wanaume nilowahi kutoka nao kimapenzi ni wahaya.Niliwahi toka na wahaya watatu kwa nyakati tofauti hadi nikahisi nina mkosi na wahaya.Sijawah ishi Kanda ya ziwa wote nimekutana nao mjini dsm.

Mhaya wa kwanza;huyu alikuwa anamalizia kozi yake chuo kikuu mwaka wa mwisho ila alinidanganya ashamaliza.alikuwa anakuja anakula kwangu ama anaweza kwambia nina hamu na ndizi nyama na hapo hajatoa hata mia yake,nikirudi nikute chakula tayari.naenda gengeni nanunua mahitaj napika chakula,akija anakula na kusaza na kujitawanya sebuleni kama kwake.halafu alikuwa mchoyo na mbinafsi sana sijawah kutana na mwanaume mchoyo na mwenye umimi Kama yule.

Alikuwa akikuta perfume nzuri kwangu anachukua,vikombe ama sahani nzuri ananambia atanipa hela nikanunue vingine ila hakuwahi toa.akawa akitumia gari langu kwendea kwenye starehe na kuniomba/kuchukua hela zangu kwenye wallet akijidai atarejesha ila hakuwahi fanya hivyo.

mwisho akaniomba nimzalie mtoto tukajaliwa katoto ka kiume,alivyozaliwa tu akasema anaenda kwao kusalimia kumbe alikuwa anampeleka mwanamke kwao kumtambulisha.akagoma ndugu zake na wazazi wake wasijue ana mtoto nami hivyo mtoto yule hajulikani kwao hadi leo.alipofikia hapo nikavunja mahusiano nikampiga na marufuku kufika nilipopanga enzi hizo.

saivi mwanangu ana miaka minne akajileta eti nimpatie mtoto,nikakataa na kuhama nilipokuwa naishi.akampa namba yangu mama yake nikamblock na kubadil namba.nafurahia zawadi ya kitoto cha kiume alichoniachia na akikuwa ntamwambia babake alishakufa tangu akiwa mimba.

Mhaya wa pili;huyu nilikutana naye kazini,akaonyesha mapenzi kwelikweli nami,uzuri hakuwa bahili wala mchoyo kama wa mwanzo ingawa alinificha kuwa kaoa.siku mmoja nikampigia simu usiku akapokea mwanamke nikakata.baadae nikajagundua ni mkewe.basi nikajitoa kimyakimya,ila akaniomba nisimwache tuendelee kwa siri basi nikakubal ila nikadhamiria moyoni kumchuna kwelikweli.alinipatia plot 3 na hadi documents zimeandikwa majina yangu.maprnz yaliponoga mkewe akagundua tena,tukaamua kuachana kistaarabu iliposhindikana akaja akashtak ofisin kwetu mumewe akahamishiwa mkoa mmoja hivi kanda ya ziwa na ukawa mwisho wa mahusiano yale ya wizi.huyu namkumbuka hadi leo maana alikuwa mtoaji sana na mstaarabu kwelikweli.

Mhaya wa tatu:huyu aliletwa baada ya yule kuhamishwa ofisini kwetu.naye aliponiona tu akaanza nitongoza,nikamweleza kweli kuwa am a single mom naye akajieleza kuwa ana mke na watoto wawili wote wa kike,anatamani baby boy hila mkewe hawezi zaa tena.Akaniomba naye nimzalie baby boy kwa ahadi atanijengea nyumba.kwakuwa nilishazalishwa na lijitu halafu likatokomea sikutaka rudia kosa nikamwambia anijengee kwanza anipe na documents halafu suala la kumzalia liendelee akasita akihisi nitamtapel.basi nimeendelea naye kwani naye si bahili,mkarimu,anajali,mstaarabu.Hila nimetoa mimba zake mbili bila yeye kujua kwani ahadi ya nyumba bado na singependa kurudia makosa.

Dhumuni la uzi mdau anaomba ushauri afanyeje aweze kuvunja hii circle ya kutongozwa ama kudate na wahaya.yeye kabila lake ni mchanganyiko wa mama kutoka mbeya na baba mwera wa mtwara.
njoo kwangu mm sio mhaya
 
Jana wachaga leo Wahaya...kesho sijui watakuwa kabila gani...???
 
Back
Top Bottom