Wanaume wa Jf walivyo!...

Wanaume wa Jf walivyo!...

Sijui ilinipitaje hii .....jaman kuna mwanaume mmoja humu jf nilimwona jamani jaman jaman haha ha ha ....yaani ile kuona tu picha yake WhatsApp nilimblock mazimaaaa ...yaan hamorapa hajambo daaaah hapana kwa kweli.



Ila sio wote me nimewaona kama watano au sita wawili ndo walikua waajabu ....wanisamehe tu
mbn mm nilikuwa napata mahb tuuuu
 
Yan nampitaaa kabisaaa huwa natoka mwendo ukikumbuka id yake ina brand kubwaaa comment zakee mashaaalaah threads zakee hoiii unajua kitu ndo hichii kumbe hamorapa mm kiukweli nakimbia tu
Sio vizurii kuwakimbiaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom