Wanaume wa Jf walivyo!...

Wanaume wa Jf walivyo!...

kwa upo JF kusaka wanaume utofauti wako na makahaba wa sinza ni upi haswa
 
Huyu dkt ulimwengu ni wa kawaida sana,Mama sabrina ningekua nakuamini ningekuonesha hazard wangu
Eeee
Screenshot_2018-04-20-20-10-12.jpg
 
Kwahiyo huu uzi ndio ulipompatia G!!! Ngoja nami nikafungue uzi wa kuwachamba nimpate E.
Huwezi amini alinifata pm na kulalamika "Mama Sabrina nakataaa hatufanani na hamorapa "nikamuambia nikuone sasa akanirushia picha nikasema we unafaa mara tukabadlishana namna ,mara siku zikapita zikaanza simu napigiwa nikamuambia piga kwa whatsapp call tu my dia,mara naulizwa zawadi,mara papp tukazamaa "Mama sabrina nakupendaa"nadhani alianza kunipenda zamani tu maana alikuwa akiingia humu cha kwanza kutafuta nyuzi asome acheke mara anyegeke
Nawe jitahidi utapataa uache mmeo au??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom