Wanaume wa Jf walivyo!...

Wanaume wa Jf walivyo!...

Kama ukikutana na mtu halafu hujapendezwa naye si bora kukausha tu...

Wanadamu hatujajiumba wenyewe...
 
Hivi wewe na umafia wako wooote wa papuchi umeshindwa kabisaaa kumkoleza mtoto mmoja humu hadi kila uzi,kila comment awe anataja tu daby!!!!
Mtu na kakake, nimewashindwa tabia!
 
Nilikimbiaa kijanja alafu nilimuelekeza akaja mpaka getin ikabid nimwambie walinzi wa hapa kwetu hawaruhusu wagen wasiowajuaaa maana tunaishi nyumba za waheshimiwaa nikamsalimia tu nikasepa naona sku hizi ananitukana kwenye thread zangu
Ahahahhahaahah nimemshajuuuua huwezi amini nakojooooaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom