Wanaume wa Jf tuwe waungwana

Wewe kula papuchi acha maneno mengi. Hata mkiita kaburi bado mtatumbukia tu mzikwe. Muheshimu mlikotoka.
 
Wewe kula papuchi acha maneno mengi. Hata mkiita kaburi bado mtatumbukia tu mzikwe. Muheshimu mlikotoka.
Angalau papuchi, lakini mbunye, eee kaburi!? sina haja nalo.
 
Shida sio kiungo.. shida ni mwenye hicho kiungo.. kuna Malaya na Mwanamke
Malaya tutaita Mbunye na majina mengine mabaya kuliko hilo.. ila Mwanamke tutaita uke kama bailojia ilivyotufundisha darasa la nne C
mkuu, si kila MTU aliyomo humu ana akili ya kumuongoza wapi alitumie, wengine wanaokota tu, na popote wanatupia.
 
Wenye bunye zao wametulia wala hawakereki maana wanajua ni tafsida tu kwasababu huwezi kutamka kile kiungo moja kwa moja

Hebu wewe pendekeza tukiiteje tofauti na hayo majina ambayo huyapendi?
 
Asante mkuu, sasa napata picha, baadhi ya wanawake wa Jf hawajitambui.
 
Ile sehemu ni tamu sana...ikiwezekana tuipatie jina kama 'heaven' n.k
 
Nikki wa pili nenda kaandike Twitter humu sio size yako
 
Mbona jombii anaitwa dushe umevunga au mkuyenge ila hutesekii... Lakini ngenya ikiitwa mbunye una mind kwani vepe..? Acha zako papuchenga itabaki kuwa juu....
 
Mbona jombii anaitwa dushe umevunga au mkuyenge ila hutesekii... Lakini ngenya ikiitwa mbunye una mind kwani vepe..? Acha zako papuchenga itabaki kuwa juu....
Majina ya jombii, mengi niyakibabe, nayayoogopesha, siyamchezo mchezo hata kidogo,...hogo,kisiki cha mpingo,mguu wa mtoto,taruma, na mengine mengi, yote yanalenga kusifia na sikudhalilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…