Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

We amuoe nani?
Akha! Bado nadanga kwanza.

Unajua unanichanganya.
Kakuacha au umemuacha?
Ila uache kupenda pesa unaona sasa umekosa ndoa na mwanaume.
Hv si analingana na baba yako yule kiumri au naona vibaya?
Aniache kwani nilimdate lini? Mtu ambae anadai mke alimkimbia me najipeleka kufanyeje kwa mfano.hela naipenda Ila sio ile madam.yule mzee ana ahadi kemkem utadhani anagombea uraisi ccm.aliaidi kunipeleka kusoma nje ujue.
 
Heheheheh pole sana.
Kweli mkewe alimkimbia nakumbuka.
Hahahaha....ila jamani ana ahadi kama mgombea afu si ungesubiri uone kama atakupeleka ulaya shost.

Mie alisema ananipeleka Canada kwa matembezi.
Afu wewe una dhambi ujue, kwani Arusha lazima uende na ndege?
Ungeomba nauli ya basi tu bidada
 
😂😂😂Hakuna kitu kibaya kama hicho kuelezea mahusiano yaliyo pita kasoro zake yeye angedili na wewe tu huyo ni mzee kweli au kivulana
 
Aniache kwani nilimdate lini? Mtu ambae anadai mke alimkimbia me najipeleka kufanyeje kwa mfano.hela naipenda Ila sio ile madam.yule mzee ana ahadi kemkem utadhani anagombea uraisi ccm.aliaidi kunipeleka kusoma nje ujue.
Kwahiyo huyo jamaa wa chuga mnaemzungumzia ni mzee?,kwa maana hio hii kashfa haituhusu ss vijana sio...
 
Heheheheh pole sana.
Kweli mkewe alimkimbia nakumbuka.
Hahahaha....ila jamani ana ahadi kama mgombea afu si ungesubiri uone kama atakupeleka ulaya shost.

Mie alisema ananipeleka Canada kwa matembezi.
Afu wewe una dhambi ujue, kwani Arusha lazima uende na ndege?
Ungeomba nauli ya basi tu bidada
Ahaàa alikuambia nilitaka ticket ya ndege?
 
Ila hukuliwa, maana usije ukawa umetoa papuchii kwa mchimba mashimo ya choo ukidhani meneja wa CRDB, kuja kushtuka kipapa kimechakaa,
 
Bora mnaokutana, wengine naona tuna nuksi mtaani mpaka Jf!
Bahati njoo uchukue kwangu hapa, ila ukija njoo na nauli ya kurudia na hela yako ya kinywaji maana baadae usije nifungulia uzi hapa JF nimefeki life, I'm real
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom