Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,419
- 4,111
Samahani kwa hili, nitalifanyia kazi mrembo.Habari za muda huu
Yaani wanaume wa humu sijajua ni dharau,ni Malaya,au wapoje kwasababu,kila mtu anakuona kama Malaya tu,mara oooh unatangaza biashara.
Mara sijui nini,kutongoza kwenyewe hawajui,mtu badala akubembeleze analazimisha kama vile anakujua,
Wengine ni kutamka pesa zao wakidhani kila mtu anavutika na pesa.
Jifunzeni kutongoza na kujieleza vizuri siyo kila mtu anapenda pesa.
Pesa tunapenda ndiyo lakini siyo za kuhongwa ndiyo maana tunafanya kazi.badilikeni
Kigaila sink tank wa chauma jamaa anajua sana siasa
Dharau nazokataa ndiyo hiziWe weka dau lako acha mboyoyo mingi
Mume BoraMarry kuwa mvumilivu utapata unachotaka
Weee nayeUnasikitisha sana!
Utampata Cha msingi kuwa mvumilivuMume Bora
Huyu huyu aliepigwa VAR na Odemba akataka kusepa!Hamna kitu humuKigaila sink tank wa chauma jamaa anajua sana siasa
ππππWe weka dau lako acha mboyoyo mingi