Wanaume wa humu mna dharau sana

Wanaume wa humu mna dharau sana

Marry Diana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
970
Reaction score
2,360
Habari za muda huu

Yaani wanaume wa humu sijajua ni dharau,ni Malaya,au wapoje kwasababu,kila mtu anakuona kama Malaya tu,mara oooh unatangaza biashara.

Mara sijui nini,kutongoza kwenyewe hawajui,mtu badala akubembeleze analazimisha kama vile anakujua,
Wengine ni kutamka pesa zao wakidhani kila mtu anavutika na pesa.

Jifunzeni kutongoza na kujieleza vizuri siyo kila mtu anapenda pesa.

Pesa tunapenda ndiyo lakini siyo za kuhongwa ndiyo maana tunafanya kazi.badilikeni
 
Samahani kwa hili, nitalifanyia kazi mrembo.
 
Oyaah kwani mtu akija straight shida Iko wapi?
20250526_230013.jpg

#no reform no election #
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom