mwanetu kaza moyo uishi na mumeo, mumeo huyo ,ni wewe ndio uliyempendaaa, tulikufahamisha mapema kwamba mchumba wako ni mlevi ,hukutaka kutusikiaaaaaa. leo umeyaona mwenyewee mwanetu weeee nenda kwa wazazi wake mumeo ukawaelezeee....!!!!- DDC MLIMANI PARK (HASSANI REHANI BITCHUKA)