Hapo ni kwa Bush star, tajiri na mstaarabu sana kijiji chote chaweza hamia kwake nadhani huyu yuko mjini ya kijijini kwa sababu;
Ana Meza ya chakula, bush kwetu tuna kaa chini sisi watoto, na wazee hukaa kwene vigoda
Menu bab kubwa, vikombe vizuri kila mtu na chake, vyakula kila aina. menu ni nzuri, wa bush kwelikweli mnatumia kibuyu kimoja tu kwa wooote! kila mtu anatia domo unampasia wajirani yako. kawaida anaanza baba,
Bush kabisa huli mtindi na viazi, ni matumizi mabaya ya maziwa. kwa sababu viazi ni vitamu unakunywa na maji.
Anajua matumizi ya simu,