T Taffman Senior Member Jul 11, 2015 169 97 Jan 12, 2017 #2 Bado kuna mambo ya HV na ukata wrote huu?
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Dec 14, 2016 13,998 31,756 Jan 12, 2017 #3 Nasubiri waje wadhibitishe
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,785 10,198 Jan 12, 2017 #4 Namsubiri Bitoz aje atoe japo neno kidogo
isambe JF-Expert Member Feb 14, 2008 2,195 1,407 Jan 12, 2017 #5 Unajua kama unatuumiza shingo zetu kwa hii picha , yako, sijui wewe ndio uliyeporwa hiyo manzi ukapigwa mtama uko chini ndio ukaipiga hii picha
Unajua kama unatuumiza shingo zetu kwa hii picha , yako, sijui wewe ndio uliyeporwa hiyo manzi ukapigwa mtama uko chini ndio ukaipiga hii picha
jembe afrika JF-Expert Member Jan 15, 2014 7,603 3,776 Jan 12, 2017 #6 Wanaume wa dar niwalaini sana hawawezi kugombania demu.chips na maji dahhhhh
Adolph Jr JF-Expert Member Nov 5, 2016 5,935 9,503 Jan 12, 2017 #7 Hapo hamna hatari sana maana wataishia kupeana mipasho na taarabu. ...ni simba wa kuchora hao
GREGO JF-Expert Member Apr 3, 2014 4,279 2,921 Jan 12, 2017 #8 Jamaa ajiandae kutupiwa malboro yake nje............wanaume wa Dar bhana umarioo kibao kumbe nure kabisa
Jamaa ajiandae kutupiwa malboro yake nje............wanaume wa Dar bhana umarioo kibao kumbe nure kabisa
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,785 10,198 Jan 12, 2017 #9 Wanaume wa dar ni sawa na nyoka wa Bujora makumbusho mkoani mwanza hawana madhara hata kidogo
Ranks JF-Expert Member Oct 21, 2012 2,583 1,097 Jan 12, 2017 #10 isambe said: Unajua kama unatuumiza shingo zetu kwa hii picha , yako, sijui wewe ndio uliyeporwa hiyo manzi ukapigwa mtama uko chini ndio ukaipiga hii picha Click to expand... Akhsante,you make my day........... 'mayonene'.
isambe said: Unajua kama unatuumiza shingo zetu kwa hii picha , yako, sijui wewe ndio uliyeporwa hiyo manzi ukapigwa mtama uko chini ndio ukaipiga hii picha Click to expand... Akhsante,you make my day........... 'mayonene'.
Juma chief JF-Expert Member Jun 6, 2016 2,764 2,366 Jan 12, 2017 #11 halafu wote wana wana magari....nyie wanawake bhana...sijui mnataka nini...