Wanaume wa Dar vS Wanaume wa Mikoani

Nmechelewa siti ya mbele ila sio mbaya
 
tunawaachia nao wanaume wa dar waionje mana ni kama golden chance pande hizo
 
Mikoani hakuna kugombania daladala kama dar!!!! Wadada wa dar bikra zinapoteleaga kwenye ugomvi wa daladala
 
Alafu nina bahati nao sana ya kuwa wahi faster tu wanapofika hapa mjini.
 
Anyway, tujitahidi walau tufikie uchumi wa kati
 
WANAUME WA DAR WANAPENDA SANA KUANGALIA VIPIND KAMA "WANAWAKE LIVE" CHA EATV "DADAZ" TAMTHILIA YA "SULTAN" ILA WANAUME WA MIKOANI HUWA WANAANGALIA MOVIE KAMA "MACHETTE"
 
Sisi wanaume wa mkoani tuna akili hatutaki kuzini ovyoovyo kama mbwa koko!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…