WANAUME WA DAR prt 2

William Ngotti

Senior Member
Apr 13, 2015
187
48
Lakini wanaume wa Dar nani kawaroga?? Wanaume wa mikoani tunakula ugali maharage nyie mnakula chips hadi mnaandaa matamasha ya kula chips mayai? Hivi hizi heshima kwenye ndoa zenu zitaletwa na ngumi? Jipangeni aisee.....watu wanahamasishana kula ugali wa dona,ugali wa muhogo...nyie mnatuletea vituko gani? Kuweni sirias aisee mnatutia aibu. Huku kwetu moshi chips mayai inatumika kama mboga wakati wa kula dona. nyie mnakula na mnalalia! Halafu baada ya miaka mnaanza kukimbilia kwa DR. MWAKA. Jaman acheni hizi aibu.


Nimemaliza
 
Dar kuna bahari kwahiyo supu ya pweza iko karibu, sasa wewe wa moshii....dah!
Yote tisa lakin kuchapiwa ni siri ya ndan
 
hahahah alafu wanakuwa model na wao!!!!,,,,,,,, wakati ukiwa umetuna misuli kdogo ukapata kifua cha kudekea huaga hadi raha,,,,, sa ukikutana na kifua flat adi unapetite inajitokeza..
 
Wenzao EFM wanawaponda wanasema mwanaume mpumbavu anaiharibu nyumba yake mwenyewe kwa kula chipsi yai.
 
Back
Top Bottom