Wanaume wa Dar na Tabia za kishoga

Wanaume wa Dar na Tabia za kishoga

Worldboss

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,933
Reaction score
3,777
Aisee! Wanaume tumebaki wa chache sana.
wiki kama moja hivi nyuma nimepanda daladala LA kawe nikakutana na jamaa kapaka rangi za kucha (baada ya tafiti yangu isiyo rasmi nikagundua zinaitwa "jelly")


hivi wanaume mbona tunapukutika kwa kasi kubwa sana ? Nini tatizo?

kuna mwengine nae ni msanii wa bongo fleva anajiita nedy music, eti nae alikuwa analipiza kisasi kufanya vitu vya kike kisa wanawake wanavaaga suruali zao.
 
Wanawaiga wake zao akina shunie na mama sabrina bila kumsahau mzigua

E&K
 
Aisee! Wanaume tumebaki wa chache sana.
wiki kama moja hivi nyuma nimepanda daladala LA kawe nikakutana na jamaa kapaka rangi za kucha (baada ya tafiti yangu rasmi nikagundua zinaitwa "jelly")


hivi wanaume mbona tunapukutika kwa kasi kubwa sana ? Nini tatizo?

kuna mwengine nae ni msanii wa bongo fleva anajiita nedy music, eti nae alikuwa analipiza kisasi kufanya vitu vya kike kisa wanawake wanavaaga suruali zao.
Kumbe na wewe upo Dar?
 
Maana nasikia mwanaume wa Dar anaenda hata bafuni na kanga ya mkewe kiujumla mambo yao sio poa

E&K
 
Dar nimebakia mimi msukuma rijali. Wengine siwaamini kama kweli wanaume wa shoka wanaowakuna wake/wapenzi/michepuko yao hadi wakaomba po. Yaani kila mwanaume humu mjini ana stress na anatafuta vumbi la Congi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanaoitwa wanaume wa Dar utakuta wengi wametoka mwanza,musoma,mbeya,Iringa,Arusha,songea nk sasa huwa najiuliza kwamba hawa wanaume wanaotoka mikoani wakaanza kuiga mambo hadi wakaanza kufirwa ni wa Dar ni wa mkoani Make Masai anaimba Taarab siku hizi na anakuna Nazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom