Wanaume wa Dar na Tabia za kishoga

Wanaume wa Dar na Tabia za kishoga

Worldboss

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,932
Reaction score
3,763
Aisee! Wanaume tumebaki wa chache sana.
wiki kama moja hivi nyuma nimepanda daladala LA kawe nikakutana na jamaa kapaka rangi za kucha (baada ya tafiti yangu rasmi nikagundua zinaitwa "jelly")

hivi wanaume mbona tunapukutika kwa kasi kubwa sana ? Nini tatizo?


kuna mwengine nae ni msanii wa bongo fleva anajiita nedy music, eti nae alikuwa analipiza kisasi kufanya vitu vya kike kisa wanawake wanavaaga suruali zao.
 
Back
Top Bottom