Wanaume wa Dar mnahitaji msaidiwe

Mimi sio mwanaume wa dar,lakini mkuu umeongea madini tupu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wasile viepe sasa watakula nini mkuu???
 
Inategemea mkuu labda ulificha viagra kwa pocket [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hivi wanaume wa mikoani mnawaza tu kwichikwichi hamnaga chakufanya zaidi ya upuuzi?
Nyie wazeni mapenzi sisi tumake doo!!.
 
Hatari sana, c mnapenda pesa, mijamaa yenye mpunga inakula hovyo na inenepa hovyo na kazi wanashindwa
 
Wanawake wa Dar wana gubu sana kiasi kwamba unapiga hata kimoko tu then huitaji tena
 
Dah! wa Dar wananyanyasika sana ndugu zangu,ila poa ngoja tuone maana mi nashindwa nikae upande upi maana mwaka wa sita sasa nipo mkoani na sijui ntarudi lini Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…