upo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni usiku saa tatu unasema ngoja nipimpigie yule kaka hata nirefresh mind loooh halooo ... halooo...sikuskii kesho uje ofsini. khaa asbui anapiga unauchuna unapiga tena usiku inazimwa kabisa..... kwani shida ni nini? au ushamba?kama una ndoa si utulie na ndoa jamani? khaaa.
Mimi hauniwezi wewe sio size yangungoja nikutafute wewe maana sijapata
mbona yeye alikuwa ananicall kila siku mchana lakini nikaona na mimi nimpigie siku iyo usiku ndo hvo kigugumizi kwa wingi khaaAhhh na wewe unaniangusha bana
We hata sura za single huzijui mpaka unaenda kuparamia kitu ya mtu
Huyo hahitaji zaidi ya one night stand hayo mambo ya kupigiana simku za usiku au kuambiana mic u hazipo
<br />angesema basi yeye anapatikana mchana tu usiku yupo lindoni
kasema yupo single eti?
upo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni usiku saa tatu unasema ngoja nipimpigie yule kaka hata nirefresh mind loooh halooo ... halooo...sikuskii kesho uje ofsini. khaa asbui anapiga unauchuna unapiga tena usiku inazimwa kabisa..... kwani shida ni nini? au ushamba?kama una ndoa si utulie na ndoa jamani? khaaa.
mbona yeye alikuwa ananicall kila siku mchana lakini nikaona na mimi nimpigie siku iyo usiku ndo hvo kigugumizi kwa wingi khaa
si ulimpa simu akupigie au ? msipopigiwa mnalalamika so what?niliwahi kaa siti moja na dada mmoja nikiwa natoka Bagamoyo, alichukua namba yangu baada ya kuhoji kwanini nimeenda peke yangu huko, na nikamjibu nipo single. Usiku wake tu akanipigia, kesho yake akadai niende kwao kumsalimia, yaani nilijuta kumpa namba.
mimi ni expensive sana hata wewe unajua si unmakumbuka siku ile?
single but occupiedkasema yupo single eti?