arifuuuu asante kwa kuwateteaa aseechalii niaje arifu,ao nimachali wenye blood ya kibongobongo sio chali ya chuga OG, huwaga hatupotezagi misinginism,halafu kula kaya sio uchuganism,kua chali wa chuga ni ile kuishi ki real sio kuwa na mafekechefeke ya kuishi ki fekinisim arifu.
Wanawasingizia ndio.wa chuga watakua wanasingiziwa mkuu
Usifananishe wanaume wa Arusha na jinsia yenye uume iliyoko huko Dar.
Siku hizi wakizaliwa wanakatwa mapema ili kuimarisha shina sasa nyie endeleeni na Urembo wenu na kutinda nyusi.Wacheni dharau za kimbwiga wa mikoani na magovi yenu tunawabokoa sana hapa Dar.