Wanaume wa aina hii mnazingua

Wanaume wa aina hii mnazingua

Wewe ndio upunguze ujinga yaan unaulizwa swali kistarabu wewe unajibu upupu ukifikiri umefanya la maana kwan ungrmwambia tu hyo ni mtu wako ingekuaje tena angepigwa chini na wewe ukapata urahisi wa kumrudisha kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mahusiano ni ya vivulana na kisichana. Wanaume na wanawake hawafanyi hivyo.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Sasa wewe huoni kama wewe ndiye mfuko?....demu anakuambia ukajitambulishe kwao huku anawachezea wawili bila kujielewa...

Na unajisifia unapendwa? Angekuwa anakupenda angemwacha yule akawa na wewe tu.
 
Back
Top Bottom