Wanaume wa aina hii mnazingua

Wanaume wa aina hii mnazingua

Huyo demu anaitwa Hamida? Maana sio kwa kunung'unika hivyo. Hapo wewe ukiibuka mshindi jamaa atakua anapiga kiwiziwizi au jamaa akiibuka mshindi basi wewe utaeza kua unakula tunda kimasiara masiara
 
demu sio chenga wasichana asilimia kubwa ndo wapo hivyo mzee.....sikuwa naye kwa kipindi fulan so alikuwa na Uhuru wa kuwa na MTU mwingine coz hata mm nilikuwa na MTU mwingine Ila nikatemana naye na kuamua kurudi kwake na kwakuwa ananikubali kwnn anibanie papuchi???
Jamaa yupo sawa demu ndio chenga

Sent using Damu ya Yesu

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
 
alinipigia kwakuwa alipanick baada ya kuona anagharamia halafu wengine tunakula kiurahisi
Huyo jamaa ni mjanja kuliko wewe. Yeye kukupigia kiroho Safi kauliza kwa upole we unamjibu kwa mihemko??? Fala kweli.

Ulitakiwa kuongea nae Kama alivyokujia mwisho wa siku mnaelewana na kuwa marafiki huku mkichangua Nani wa kumwachia mwenzake huyo Malaya wenu.

Umefeli Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
 
mzee mm sio mpuuzi mapenzi yanafuatwa popote!! yeye kama alikuwa anajua anabwana anayempenda kwann alikubali kuwa na mm?? ni kwasababu anahisia na mm ndo maana hawezi kujizuia juu yangu!! hii ni kama vita mzee yeyote anaweza kushinda
Mtoa thread nikwambie tu mzee what you and that bitch are creating is KARMA, nakwambia haitawaacha salama. Unajitetea wakati wewe ndie mpuuzi??! Na huyo bitch pia ni laghai. Kama alikupigia kiustaarabu wewe ndie ANDONDILE MWAFYEKELEWAMBALI.

Kwanza unaanzaji mahusiano na mtu bila kuuliza kama yupo katika mshusiano eti kwa kisingizio "YEYE NI MREMBO HIVYO LAZIMA AWE KATIKA MAHUSIANO", ulitakiwa kama mtu uliyestaarabika kuuliza kwanza, kama angejibu yes basi ungetakiwa kuheshimu territory ya Mwanaume mwenzio lakini angejibu No hapo atleast Karma ingecheza na yeye pekee.

Don't hunt what you can't kill.

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
 
we kama ni mwanaume na unaogopa kumtongoza mwanamke kisa anabwana wake ni F@LA mwanaume simama katika msimamo wako na ujiangalie ww kama ww na nyie ndo wale mkitongoza mkiambiwa tu nina MTU tayr unakata tamaa wakati mwingine wanawake wanawapima kwa kuangalia utafanya nn!! ukidisolve basi anajua hawa ndo wale wakupiga na kusepa mapema na anakupotezea kweli!!!
Mimi nadhani unaezingua ni wewe unaemfuatilia mwanamke ambae unajua fika kuwa ana mtu wake.

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
 
mzee mm sio mpuuzi mapenzi yanafuatwa popote!! yeye kama alikuwa anajua anabwana anayempenda kwann alikubali kuwa na mm?? ni kwasababu anahisia na mm ndo maana hawezi kujizuia juu yangu!! hii ni kama vita mzee yeyote anaweza kushinda

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
Huyo manzi mnafanana akili. Usimuache mkuu
 
Back
Top Bottom