thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,458
- 1,436
kuna demu moja hivi alikuwaga mpenzi wangu ili tuliachana katika mazingira ambayo yalikuwa farewell, hivyo kila mmoja akaendelea na maisha yake ingawa bado kila mmoja alikuwa anahisia na mwenzie.. .
ikapita kama miez 3 hivi mwanaume nikaamua kuvunja ukimya nikamtafuta, kwa kweli hakuniletea nyodo au kisirini ingawa alikuwa analalamika kwann nimechukua muda mrefu kumtafuta, mwanaume nikajiumauma pale kwa kujitetea mwisho wa siku tukajikuta tumeingia kwenye chatting za kimahaba,..
YEYE yupo mkoa tofauti na mm, na tulikuwa tumeshapanga siku ya valentine day tutakuwa pamoja yaani atakuja kunitembelea huku nilipo atakaa siku tatu then atarudi kwao...
Sasa kumbe alikuwa na mwanaume mwingine ingawa moyo wake upo na kwangu na alinificha lakini kwa kuwa mm ni mwanaume na hakika ni binti mzuri nilijua tu huyu atakuwa kwenye mahusiano maana kuna muda unakuta hapatikani na kisingizio unaambiwa umeme unasumbua mtaani kwao so sikutaka kucomplain sana kwakuwa bado anatafuta true love so mwisho wa siku akiniona nafaa zaidi basi mapenzi mengi atahamishia kwangu maana kama kuniambia niende kwao kujitambulisha ameshaniomba sana na anasisitiza.....
Sasa picha halisi Jana likatokea isee, nilichat naye morning mpaka mchana hivi na kuanzia hapo akawa hapatikani kumbe inaonekana alikuwa na mshikaji wake Huyo mwingine jamaa akafanikiwa kuona chatting zetu bhana....
Kilichonikera ni kuwa niliona namba ngeni inapigwa kwenye namba yangu, kumbe ni jamaa anaanza kuniuliza ETI BRO HUYU MDADA UMEANZA KUDATE NAYE LINI? MM NIKAMJIBU Tofauti na alivyotegemea yeye, basi akakata baadaye akamuuliza huyo demu, demu akakanusha kuwa jibu nililomwambia sio kweli, basi jamaa akanipa niongee na Huyo demu ili tuongee ukweli
nikasema huyu jamaa mjinga kweli kweli......
Hivi inakuaje mwanaume unampigia mwanaume mwenzio nakuanza kulalamika kisa mwanamke anakucheat?? mwanamke ni kiumbe ambaye haridhiki unaweza ukawa unampa pesa lakini humridhishi kwenye mapenzi lazima atafute MTU wa kumridhisha so ww utabaki kama ATM kwake wakati raha zaidi wanapata wengine!!!
VIJANA WAKIUME TUFIKE MAHALI TUACHE UJINGA KAMA HUU MAANA HUO NI UMAMA SQUARE!!!
don't waste your time on lecturing me, this is 2020
ikapita kama miez 3 hivi mwanaume nikaamua kuvunja ukimya nikamtafuta, kwa kweli hakuniletea nyodo au kisirini ingawa alikuwa analalamika kwann nimechukua muda mrefu kumtafuta, mwanaume nikajiumauma pale kwa kujitetea mwisho wa siku tukajikuta tumeingia kwenye chatting za kimahaba,..
YEYE yupo mkoa tofauti na mm, na tulikuwa tumeshapanga siku ya valentine day tutakuwa pamoja yaani atakuja kunitembelea huku nilipo atakaa siku tatu then atarudi kwao...
Sasa kumbe alikuwa na mwanaume mwingine ingawa moyo wake upo na kwangu na alinificha lakini kwa kuwa mm ni mwanaume na hakika ni binti mzuri nilijua tu huyu atakuwa kwenye mahusiano maana kuna muda unakuta hapatikani na kisingizio unaambiwa umeme unasumbua mtaani kwao so sikutaka kucomplain sana kwakuwa bado anatafuta true love so mwisho wa siku akiniona nafaa zaidi basi mapenzi mengi atahamishia kwangu maana kama kuniambia niende kwao kujitambulisha ameshaniomba sana na anasisitiza.....
Sasa picha halisi Jana likatokea isee, nilichat naye morning mpaka mchana hivi na kuanzia hapo akawa hapatikani kumbe inaonekana alikuwa na mshikaji wake Huyo mwingine jamaa akafanikiwa kuona chatting zetu bhana....
Kilichonikera ni kuwa niliona namba ngeni inapigwa kwenye namba yangu, kumbe ni jamaa anaanza kuniuliza ETI BRO HUYU MDADA UMEANZA KUDATE NAYE LINI? MM NIKAMJIBU Tofauti na alivyotegemea yeye, basi akakata baadaye akamuuliza huyo demu, demu akakanusha kuwa jibu nililomwambia sio kweli, basi jamaa akanipa niongee na Huyo demu ili tuongee ukweli

nikasema huyu jamaa mjinga kweli kweli......Hivi inakuaje mwanaume unampigia mwanaume mwenzio nakuanza kulalamika kisa mwanamke anakucheat?? mwanamke ni kiumbe ambaye haridhiki unaweza ukawa unampa pesa lakini humridhishi kwenye mapenzi lazima atafute MTU wa kumridhisha so ww utabaki kama ATM kwake wakati raha zaidi wanapata wengine!!!