Buhongwa Kwetu
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 265
- 171
Mwanamke kwa gari ni sawa na mfupa kwa fisi
usiandike sanaKama hichi kilicho andikwa hapa ndicho kilichomo kwenye vichwa na mioyo ya wanawake wengi basi bila shaka haishangazi kuona jamii ya wanaume wengi kuona kuwa inamchukulia mwanamke kama chombo cha starehe......na vita vya ukombozi dhidi ya unyanyasaji kwa wanawake inavyozidi kuwa ngumu....na pengine kushindwa kabisa......
Kitu ambacho wengi hawajui ni kuwa matendo ya watu wengine dhidi yanaakisi jinsi wewe ulivyo kwenye mboni za macho yao.......kabla ya kuanza kuwalaumu watu wengine juu ya matendo yao juu yako kwanza anza kujitazama wewe....na kama ikiwezekana anza kujibadilisha wewe na ujipe thamani unayostahili....na utashangaa watu wanaanza kukuheshimu bila hata ya kutumia nguvu.....
Wakati binti unalalamika kuwa huna na hupati mtu wa kukuoa kwanza kabisa unatakiwa wewe mwenyewe ujiulize kuwa umejenga taswira gani mbele ya wanaume ambao ndio waoaji...!!!??
Kama umejijengea taswira ya umalaya mbele ya wanaume..unadhani ni mwanaume gani atakuwa tayari kumuoa mwanamke mwenye muonekano huo......???!!
Kama wewe mwanamke umejijengea taswira ya ufujaji ( gold digger) unadhani ni mwanaume gani atakuwa na uthubutu wa kuwa na mwanamke wa aina hiyo zaidi ya kukutumia kama chombo cha starehe tu...!!!??......
Utakapo badilisha mtazamo na muonekano wako...ndio umebadilsha na maisha yako.......
Jiweke katika hali na mazingira bila kusahau muonekano wa kupata kile unachostahili......
umeona sio .anaharibu budget za watuHAHAHHA hawa ndio wanawake wa kizazi chetu(halafu baadae mnalalamika ooh wnaume wote sawa). hivi mbona mama zenu walikuwa wapole? na wanasema like mother like daughter.je mmetoa wapi u cheap wa aina hii. anyway huyo anaekusindikiza na hatoi hata nauli kwenye haisi nae ndege malapa tu,not a gentleman at all
usiandike sana
Kumbe yale mapozi yote barabarani huwa mnaomba Mungu gari isimame kukupa lift.hii ni post yangu ya mwisho humu jamii forums . natoa dukuduku la mwisho
unakuta mdada upo njiani au barabara yenye magari mengi tu binafsi unaelekea kituoni unajua tu kwamba kabla ya kufika barabara kuu /kituoni kutokana na magari kuwa mengi njia hiyo utapata lift .ile tu unatoka nyumbani anatokea mwanaume yupo kwa mguu anaanza kukuambia dada twende wote nikupe kampani .wewe unajua naenda wapi ? ukipunguza mwendo ili atangulie akuache nae anapunguza mwendo anataka kukushika kabisa mkono eti dada unaumwa? yaani basi tu anaharibu kila kitu. yaani mtu anaenda hatua kwa hatua na wewe hata upumui wakati ukipanda nae daladala hata nauli halipi
yes miujiza ipoKumbe yale mapozi yote barabarani huwa mnaomba Mungu gari isimame kukupa lift.
naomba lifthahhahaha wenye magari tunafaidi lol!!!!
Niambie basi unapandia kituo gani ili nianze kukuvizia ukiwa unatoka. Nikikukuta na njemba inakusindikiza nitajua ndo hao wadandia safari bila malipo. Kagari kangu ni volkswagen mgongo wa chura lakini ni bora kuliko kusaga lami na wasela mavi.yes miujiza ipo
ahahaa mtu ana kausha nauli ya sh mia nne .ukizimia njiani atakupeleka hosptal kweli? si bora nitembee mwenyewe?Niambie basi unapandia kituo gani ili nianze kukuvizia ukiwa unatoka. Nikikukuta na njemba inakusindikiza nitajua ndo hao wadandia safari bila malipo. Kagari kangu ni volkswagen mgongo wa chura lakini ni bora kuliko kusaga lami na wasela mavi.
Anakuibia simu yako halafu anachapa lapa. Ndo maana nikakwambia uniambie unapopandia gari ili nianze kukusarandia na mgongo wa chura wangu, una nafuu ya kutembea kwa mguu.ahahaa mtu ana kausha nauli ya sh mia nne .ukizimia njiani atakupeleka hosptal kweli? si bora nitembee mwenyewe?
nipo ubungo mataa saa kumiAnakuibia simu yako halafu anachapa lapa. Ndo maana nikakwambia uniambie unapopandia gari ili nianze kukusarandia na mgongo wa chura wangu, una nafuu ya kutembea kwa mguu.