Wanaume: Vijue visa vya michepuko

Yatakuwa yamekukuta, vipi shemeji alikusamehe mkuu?
 
ila yote yote tuache utani jamani ukipata mchepuko ambao ni single mother utakula gudtime ile mbaya,maana wale hawana mambo mengi wewe unachozuga ni kujidai unampenda mwanae,mara vimidoli mara vizawadi vidogovidogo vya hapa na pale kwa mtoto wake,yani usirogwe ukamfokea mwanae utaharibu.
 
Hahahaa... Jamaa inaelekea unauzoefu wa kutosha
 
Asante kwa kuja.
Ila, Mama watoto na Mchepuko unaonipa 'laha' wananitosha.
Kwa hiyo mchepuko ndo unaokupa raha.mkeo hakupi raha.loh same time kuolewa ni kuhousegirlika tukha jamani wanaume nyie.Ambae Hana mchepuko aje hapa mm sitaki kuolewa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi sina mchepuko, maisha yangu ni yakitakatifu..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]harufu ya biriani[emoji23][emoji23]
 
Mi cna mchepuko
 
Yalaaaaaaa sasa si balaa kabisa hili...!!!
 
Chepuko hupaswi kumpa hata namba ya simu ya ukweli. Tafuta namba feki ya haloteli ukimaliza kazi tupa kule sepa
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…