St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,201
Wanaume wa mikoani mna umbeya
Nimecheka Sana kwa kweliKila side chick natamani siku moja awe main chick, tena hawa ambao uliwambia Iam married halafu wanajifanya mioyo yao imetengenezwa na maganda ya bamia, anakwambia "worry not darling mi sinaga hata wivu wala sitakubana ila tu nikikutaka unipe dyudyu yangu usijifanye bize na mkeo am ready for wateva"
Ndo wana balaa sio mchezo mkianza atajifanya anamheshimu mkeo kabla ya kupiga simu anakuuliza 'are u free nikupigie' ila baadae dyudyu ikikolea anasahau (baundary) basi anajikurupukia tu sa9 usiku anatwanga eti "nimekuota bebi i wish you were here"
Mhh saa hizii? Akiona hukolei sasa anakutengenezea balaa ili mkeo agundue, akikukosa kwenye lipstick kwenye kola ya shati basi siku hizi wana misabuni yao na viungo- mseto vya kuweka ndani ya uvungu kunogesha penzi vinanukia balaa vinaitwa mishki na shaibu.
Nyuchi zinawekewa pilipili hoho mixer na viungo vya pilau mzee ukichepuka ukirudi home mkeo lazima agundue maana unabakia na harufu ya biriani siku 3 hata uoge na OMO haitoki labda ujisugue na utomvu wa mpapai na steel wire.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chepuko nuksi ujiloge umtie mimba ndo balaa mpaka Trump atajua.
Hata wayajue haya wanaume wanaachaga basi kuchepuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]JF full rahanaona umeamua kuwaharibia side chick
Wanaume MNA balaa.inawaumiza huku bado mnaipenda[emoji23][emoji23][emoji23]Michepuko ni chanzo cha Presha uzeeni
Kumbe ndio kazi zao hizo? Sasa hiyo long call si ukaipigie kwa mkeo?Umesema kweli ila kumwacha mchepuko ni kazi kubwa kuliko kumwacha mke! Mchepuko ni kama bando la chuo,ni msaada mkubwa sana kwa wenye long calls ila Main Chick she's just there!
nikikutaka unipe dyudyu yangu usijifanye bize na mkeo am ready for wateva"
Nyuchi zinawekewa pilipili hoho mixer na viungo vya pilau mzee ukichepuka ukirudi home mkeo lazima agundue maana unabakia na harufu ya biriani siku 3 hata uoge na OMO haitoki labda ujisugue na utomvu wa mpapai na steel wire.