Wanaume: Vijue visa vya michepuko

Mchepuko unalala jicho moja wakiwaza jinsi ya kukukamua pesa huku wakikata mauno na kutabasamu.
 
Mtoto wa kike ni aibu kutaja taja mambo ya KUJAMBA na vifananavyo bhana.
 
Ujue hata nchi ikiwa na chama kimoja chama hicho kinalala sana unakuwa na upinzani pembeni maisha yanakuwa burdani kabisa
 
Ha,haaaa..pole mkuu km ulikutana na dhahma hiyo.jaman watu mna maneno eti pilipilihoho ha,haaaa..mbavu zangu miye
 
Hii kali nyuchi inanukia birian[emoji23] [emoji23]
 
Mnaipakazia tu michepuko, mbona wengine tunayo miaka nenda rudi na haileti songombwingo zozote? Makosa yenu ya kufanya uchaguzi mbaya ndo mnayageuza kuwa matatizo ya small house?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…