Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,393
Bora wamekukomesha afadhali urejeshe mapenzi tuishi kwa Furaha maana ulizidiMichepuko ni mashetani yanayotembea na yenye lengo moja la kukumaliza ukiwa unajiona.
Aisee! We mshenzi (nimekusifu) umetiririka ukweli mtupu. Inabidi uwe na roho ya kiume, ukizembea michepuko inaharibu.Kila side chick anatamani siku moja awe main chick, tena hawa ambao uliwambia Iam married halafu wanajifanya mioyo yao imetengenezwa na maganda ya bamia, anakwambia "worry not darling mi sinaga hata wivu wala sitakubana ila tu nikikutaka unipe dyudyu yangu usijifanye bize na mkeo am ready for wateva"
Ndo wana balaa sio mchezo mkianza atajifanya anamheshimu mkeo kabla ya kupiga simu anakuuliza 'are u free nikupigie' ila baadae dyudyu ikikolea anasahau (baundary) basi anajikurupukia tu sa9 usiku anatwanga eti "nimekuota bebi i wish you were here"
Mhh saa hizii? Akiona hukolei sasa anakutengenezea balaa ili mkeo agundue, akikukosa kwenye lipstick kwenye kola ya shati basi siku hizi wana misabuni yao na viungo- mseto vya kuweka ndani ya uvungu kunogesha penzi vinanukia balaa vinaitwa mishki na shaibu.
Nyuchi zinawekewa pilipili hoho mixer na viungo vya pilau mzee ukichepuka ukirudi home mkeo lazima agundue maana unabakia na harufu ya biriani siku 3 hata uoge na OMO haitoki labda ujisugue na utomvu wa mpapai na steel wire.
Mjomba umenivunja mbavu!Kumbe
Wasiwasi ndio akiliila kiukweli wanaume hatuwatendei haki wake/wenza wetu, kuna siku hiyo side chick alikuwa anataka pesa sijui akasuke na kupata pesa ya kununulia nguo eti kuna sherehe ya bethidei ya shoga yake ili atokelezee, akaomba kama laki hivi. Namnukuu "baby naomba laki tuu si unajua kuna party ya fulani nataka nitokelezee" nikamsikilizaaaaa katika hiyo simu alopiga, alipomalipomaliza kuongea sikumjibu, nikakata simu, kisha nikakaa na kuanza kufikiria. Maana juzi kati tuu mama mwenye nyumba alitoka kuniomba pesa ya kufanya shopping na pocket money ya matumizi ya hapa na pale, nikamtoleaga nje kuwa sina pesa.
Aisee baada ya kukata simu ya huu mchepuko simu na kufikiria kwa muda, nikainua simu na kumpigia maza haus na kumwambia, ombi lake limesikilizwa. Nikirudi nitampatia kiasi alichoomba. Aisee niliporudi tuu home, nikakata kilo 2 na kumkabidhi fanya unachotaka kama ulivyoniambia. Aisee alishangaa, maana sijawahigi kumpa pesa kama hiyo kwa mkupuo. kesho yake narudi home nakuta kuna mchele, mafuta, unga maharagwe na mazagazaga mengine ya jikoni. Huku yeye akiwa kanunua gauni moja na mimi kanichukulia shati moja kama suprise. Aiseeee nilijiona nimeokoka katika mdomo wa mamba mchepuko.
washenzi sana hawa michepuko, Ila na sisi wanaume tunayatakaga haya matatizo ya michepuko.
Nimeoa jmosi na line ya simu nime badilisha mchepuko unanitafta kwa washkaji na wife anani force nirudishe line ya zamani hapo ndo vita nimegoma kabisa na wife ni Mzungu naogopa niliweka line ishu hadharani mchepuko ni sumuMichepuko inakua na wivu(feki) kuliko mke home.
Kaka nikupongeze kwa uamuzi sahihi wa kuoa na kuachana na michepuko. Sasa jenga familia kwa nguvu zote.Nimeoa jmosi na line ya simu nime badilisha mchepuko unanitafta kwa washkaji na wife anani force nirudishe line ya zamani hapo ndo vita nimegoma kabisa na wife ni Mzungu naogopa niliweka line ishu hadharani mchepuko ni sumu