Umenena vema best!Hahaha waonje kote kote watajua tu best.... Otherwise watulizane na wafunzane kukata kiu zao...ngono ni sanaa kama sanaa nyinginezo...
Lakini wabana pua wanaongezeka na nguna ndondo wanapungua,tunakoelekea thread za aina hii zitakuwa nyingi sana maana mabint wenye vifua nao wanapungua!Alikutana na Vtoto vbana Pua huyoo,na Sio Nguna Ndondo.. Tena akae kimya!
Utakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu!!!
Jamani inakera sana vijana fanyeni mazoezi,mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha?Nimefanya resercha yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini?sijui vyakula,sijui haraka,sijui stress za maisha hamko stable.
Huku mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo zinasaida pia mule korodani za jogoo.
Itakuwa mnatuoa nyie ila starehe tunazipata kwa wababa.
Umenena vema best!
Sasa nakuja kipande ile nichukue notes,nitolee copy desa la 'The Art of Lovemaking'.
Utoro una cost!
Utakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu!!!
Jamani inakera sana vijana fanyeni mazoezi,mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha?Nimefanya resercha yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini?sijui vyakula,sijui haraka,sijui stress za maisha hamko stable.
Huku mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo zinasaida pia mule korodani za jogoo.
Itakuwa mnatuoa nyie ila starehe tunazipata kwa wababa.
Ndio maana sisi Wasukuma chips yai kwetu tunakula kama matunda tu...
Mh!! Nimebaki nashangaa, so ndiyo maana waume zetu wamekuwa wanatafutwa na wasichana zaidi kwa sababu wanajua? sasa naenda kutafuta speed gavana nimfungie halafu tuone kama watakuja kuwasifia hapa tena.
Pia sisi tulipokuwa wadogo kaka yetu alikuwa hali chakula tunachukula sisi, yeye alikuwa anakula na baba, tena walikuwa hawali mboga iliyoungwa, wao ni chuku chuku,na ugali, viazi vitamu, nyama choma, kaka yetu alikuwa akikutwa na baba anakula wali anagombezwa sana nikawa nashangaa kwa nn anagombezwa kumbe ili baadaye aweze kuwa na nguvu, Leo nimeelewa.
Utakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu!!!
Jamani inakera sana vijana fanyeni mazoezi,mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha?Nimefanya resercha yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini?sijui vyakula,sijui haraka,sijui stress za maisha hamko stable.
Huku mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo zinasaida pia mule korodani za jogoo.
Itakuwa mnatuoa nyie ila starehe tunazipata kwa wababa.
Kwa namna ulivyoelewa nawaonea huruma tu wanao wa kiume...kuanzia leo neno ubweche litakuwa msamiati kwao...:becky:
mie noumah tena nakutamani utafute game na mimiMwekundu jirekebisheni
Kula wanakula kama kawaida, ila mara nyingi napenda kuwapa mboga chuku chuku, maana nilikuwa naona baba na kaka yangu walivyokuwa wanakula, ila sikuwa naelewa kuwa inajenga misuli na kuwa wananguvu. Leo nimeelewa hawatakula mboga za nazi tena, wanatakuwa wanazisikia kwenye bomba tu, ya nini nije kutukanwa kuwa mwanangu si mali kitu hawezi kazi, Khaaaaaaaaaa!!!! Watu8 embu fikiria hilo nitaweka wapi uso wangu.
Kwa namna ulivyoelewa nawaonea huruma tu wanao wa kiume...kuanzia leo neno ubweche litakuwa msamiati kwao...:becky:
Duh nashindwa ata kujua nikasirike..niskitike..nifurahi au...
Ila poa Zahra White...hata huyo mbaba alikuaga 20 - 35.
Cha maana punguza uzinzi...