Wanaume:utajisiakiaje.......

...ebwana Mkuu,hapo kwenye red nina few coments,kama ulivosema mwenyewe kuwa;
1) ''UMEMPENDA SANA'',nazani kwa wanaojua maana ya kupenda hawawezi kushtuka chochote kuombwa hela na wapenzi wao eiza awe wa kiume/kike,sabu umesema katoa sababu kuwa hana kitu,zen wat ze hel4ze lov of my life.
2) ''MKO KWENYE UHUSIANO'',nazani hiki ni kipindi cha kuchunguzana kujua kama mwenzako ni SELFISH/MCHOYO,OMBAOMBA/MTU WA MIZINGA,HONEST/MKWELI,GOSSIP/MBEA,etc,ukishajua hayo nazani utakuwa tayari na uamuzi sahihi kwa suala lolote litakaloletwa kwako,eiza linahusu hela,msaada wa kimawazo,etc,...kwa Mie nikijua kuwa ni HONEST na si mtu wa GOSSIPS na MIZINGA,sioni hatari kulipia pango sabu najua itajilipa tuu.
3) ''MIEZI MITATU'',unamaana gani kusema miezi mitatu bila kukutana kimwili,kwamba ni muda mrefu sana kumsubiria UMPENDAYE SANA na ambaye una mpango nae wa kujenga life la pamoja4reva,hicho nazani ni kipimo chako na wengine wenye mtazamo wa ''SEX IS A MUST AS SOON AS SHE SAYS YES'',kuwa patient na watoto wa kike ili uje ule TUNDA peke yako kwa UAMINIFU uliojijengea kwa kuweza kusubiri jst4mayb MIEZI MITATU NA SIKU TATU,kufikia BREAKING POINT YAKE YEYE.

Mie wa kwangu hawezi kuomba kwa mtu baki kama hana njia au msaada wowote kifedha bila kunicheki kwanza,eiza sina kitu na pia sina njia nyingine ya kumsaidia ndo tunakubaliana awacheki watu wake anaowaamini,ambao si VIREDIO MBAO,sabu hata Mie pia nimejikuta saivi nikiwa sina kitu huwa namcheki yeye kwanza kabla ya masela,ILA SISI HUWA KAMA MMOJA WETU AKISEMA ANAKOPA,BASI HUWA ANALIPA KWELI unless asamehewe na mwenzake,au awe ameomba bila kusema ''NIKOPESHE'',hapo ukitoa hudai kitu,AND WE LOVE ONE ANAZA NA LIFE LIKO TOO FAN4US...


ndugu uliyoongea yana ukweli ndani yake,ni kweli kama mtu unampenda akikuomba hela kama unazo utampa,lakini hapa ni tofauti,utofauti unakuja kwenye approach ya kuomba hiyo hela,anaweka sharti kwamba nikitaka kitumbua shurti nimlipie pango,kwa maana hiyo kila ntakapokuwa nataka uroda kutoka kwake lazima nimpe hela,sasa je hiyo ni sahihi na haki?
 
ndugu uliyoongea yana ukweli ndani yake,ni kweli kama mtu unampenda akikuomba hela kama unazo utampa,lakini hapa ni tofauti,utofauti unakuja kwenye approach ya kuomba hiyo hela,anaweka sharti kwamba nikitaka kitumbua shurti nimlipie pango,kwa maana hiyo kila ntakapokuwa nataka uroda kutoka kwake lazima nimpe hela,sasa je hiyo ni sahihi na haki?

...kwa staili hiyo uliyoisema nikiwa Mimi basi eiza naachana naye kimoja kama nilikuwa nampigia mipango ya future,au kama ndo sina njia yoyote na inabidi nikipate hicho auzacho basi nalipia pango zen2namalizana just for ze sake of having fanz only and nothing more...
 
Inatokea kuna mdada umempenda sana,unachukua uamuzi wa kumtongoza na yeye bila hiyana anakukubalia,mnaingia kwenye mahusiano,inapita kama miezi 3 bila kukutana kimwili tangu muanze uhusiano maana kila ukimuomba penzi anakuzungusha kwa sababu mbalimbali na ahadi zisizotimilika.Unaamua kutulia tu;siku moja unapokea sms yake inasema hivi,"HONEY NAKUPENDA SANA,NAPENDA KUWA NAWE ILA KABLA SIJALALA NAWE/KUFANYA MAPENZI NAOMBA UNILIPIE PANGO LA NYUMBA MIEZI 6(72000) COZ KWASASA SINA KAMAPANI NA NIMEFULIA,JE UPO TAYARI?".sasa kama ungekuwa wewe ungefanyaje?

No money,no service...Unataka kula bure hata aibu huoni?
 
Huyo ni kichomi achana naye.
Ni kwa kuwa hana kampany kama ulivyodai ndo maana anataka kukuuzia uloda kwa kodi ya miezi 6.
HAFAI HUYO.
 
kwani na wewe kesha kustukia kuwa utakuwa mpitaji tu kwake hivyo hana haja ya kupoteza muda kusubir penzi linoge ili vitu hivyo utoe automatically bana.kama uwezo unao wewe msaidie ili nawe upate kujisaidia,sasa kama hajakuomba wewe mpenzi wake matatizo yake hayapeleke wapi unadhani?...mhh hata hivyo kabint kana udhubutu wa kutosha manake dah ni ngumu sana kwa binti mazee....kama mimi namsaidia shida yake kisha nahairisha kujisaidia kwake,then anakuwa rafiki tu si mpenzi tena.
 
Du aisee haya maisha nomaa watu wapo kikazi zaidi mwambie kununua kei kwa 72 bora niende kona baa nikachukue wazuri kuliko wewe!
 
Kwani kuna chumba cha 12 kwa mwezi town? Hata manzese au kibela hauwezi pata chumba kwa bei hyo huyo sio demu(abdu kiba ft ney wa mitego) bali ni muuza kei.
 
kama unampenda lipa kodi ya nyumba sasa unasubiri nini??lol!

kinachonifanya nichelee kumlipia hilo pango ni kwamba nafsi yangu haijalidhika na approach yake naona kaama nimenadishiwa penzi.
 
kama hujafanikiwa kumuweka karibu na wewe ukimlipia then akala kona utafanyaje kiongozi. Angalia utalizwa.
 
Hii ombaomba ndo inashusha heshima kwa wanawake. kwani huwezi kujishughulisha ukalipa hilo pango? heshima ya mtu hujengwa na mtu mwenyewe na mwanamke ambae sio ombaomba hupewa pila hata kuomba. Mkimbie hafai huyo. kwani yeye mnapofanya mapenzi hasikii utamu? mwambie na wewe kuwa umeishiwa mafuta (100 liters)kwenye gari akujazie ili uende kumlipia hilo pango.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom