Inatokea kuna mdada umempenda sana,unachukua uamuzi wa kumtongoza na yeye bila hiyana anakukubalia,mnaingia kwenye mahusiano,inapita kama miezi 3 bila kukutana kimwili tangu muanze uhusiano maana kila ukimuomba penzi anakuzungusha kwa sababu mbalimbali na ahadi zisizotimilika.Unaamua kutulia tu;siku moja unapokea sms yake inasema hivi,"HONEY NAKUPENDA SANA,NAPENDA KUWA NAWE ILA KABLA SIJALALA NAWE/KUFANYA MAPENZI NAOMBA UNILIPIE PANGO LA NYUMBA MIEZI 6(72000) COZ KWASASA SINA KAMAPANI NA NIMEFULIA,JE UPO TAYARI?".sasa kama ungekuwa wewe ungefanyaje?
hahahahahaha.ungeongeza mwaka wa 5 ungekuwa daktari,hongera sana nampenda sana yule bibi,tumia nafasi hii kuwaweka sawa wasichana uwafundishaoacha kabisa aiesee mama tungaraza ni mwl wangu miaka 4 nikiwa BeD siyo leo hii wanasoma miaka 3 sijui
hahahaaaa....hayo mi huwa naona ni usanii tu,ila kwa suala hili linanisumbua kichwa coz huyu dada nampenda ila tatizo ndio hilo.
kuna watu hasa wahaya wenye hela akipania demu hiyo hela anaitoa...mi kuna mshkaji wangu mmoja mhaya alikua anammaindi kweli demu wa kiarusha kila akiomba ananyimwa...siku demu alikua na shida ya laki moja akamwambia jamaa ukinisaidia laki moja penzi natoa aah jamaa alienda ATM mda ule ule...fanya mchezo na ile kitu...hiyo 72000 mbona ndogo sana hasa kama umepania kuila ile kitu
ndugu ushawahi nunua penzi?
Inatokea kuna mdada umempenda sana,unachukua uamuzi wa kumtongoza na yeye bila hiyana anakukubalia,mnaingia kwenye mahusiano,inapita kama miezi 3 bila kukutana kimwili tangu muanze uhusiano maana kila ukimuomba penzi anakuzungusha kwa sababu mbalimbali na ahadi zisizotimilika.Unaamua kutulia tu;siku moja unapokea sms yake inasema hivi,"HONEY NAKUPENDA SANA,NAPENDA KUWA NAWE ILA KABLA SIJALALA NAWE/KUFANYA MAPENZI NAOMBA UNILIPIE PANGO LA NYUMBA MIEZI 6(72000) COZ KWASASA SINA KAMAPANI NA NIMEFULIA,JE UPO TAYARI?".sasa kama ungekuwa wewe ungefanyaje?
Mpe tu 72k nayo ni pesa kwenye mapenzi hata kama ni ya kununua, mwambie akitaka kulipiwa mwaka akwambie kabisa bila matatizo.
kuvuja kwa pakacha........bora nikanunue luku niendelee kuangaza maisha,leo kaanza na pango kesho yatakuja makubwa zaidi,sasa si kurudishana nyuma huko?.
Ngoja nikwambie ndugu yangu, dunia hii hakuna cha bure inaitwa toa upewe, its matter of give and take. Huyo alikuwa mjinga njia aliyotumia si nzuri au si busara. Lakini waulize wanaume wenzio sio wale wanaume suruali, kwenye mapenzi kuhonga lazima iwe namna hii au ile....
Usitegemee kama utapewa mapenzi bure bure just for the sake of love, hayo hayapo tena. Siku hizi wanaotoa pesa lakini si ndo wanaziita zawadi. Akili kwe mkichwa