hivi baadhi ya wanaume wakisafiri hawawezi kukaa bila kugonga eeeh?????
heading utadhania wanaume tunaambukizana ukimwi sisi kwa sisi
Mbona kawaida hiyo,kuna hotel moja nilkwenda kukaa siku 7,nikapewa dada mmoja hawe ananiudumia..mahitaji yangu yote nimwambie yeye atanisaida bill zote zitalipwa,ukweli kama siyo kitu uhaminifu kwenye ndoa yangu ningeanguka..nashukuru mke wangu alikuwa aniniombea kila wakati na kunipa wototo wangu kuwa naongea nao,kuwa wananitegemea mimi maisha yao yote..wakisema maneno hayo moyo unaniuma kweli na steam yote inakata..
Hili kumbusho limuendee mabzab,
Dunia hadaa ulimwenngu shujaa!