Wanaume tuweni makini!

Wanaume tuweni makini!

jighabha

Member
Joined
Nov 8, 2017
Posts
17
Reaction score
25
kuna msichana mmoja nilimpenda sana na nilipenda huko mbeleni pengine aje kuwa mke wangu.
Huyo binti amemaliza Masomo yake mwaka huu, kwa Mara ya kwanza yule binti nilimtongoza mwaka Jana alikuwa bado anasoma chuo akanikubalia lakini cha kushangaza matendo yake yalikuwa hayaonyeshi kama ana upendo na mmi,alikuwa hanipigii simu wala kunitumia sms mpaka nimuanze mmi hata kama Ana credit utamuona Ana chati tu online na siku akini beep ujue anashida anataka nimtumie pesa.
Niki mwambia basi tutoke out tuka pumzimke somewhere labda lodge au hotelini hataki, yeye anataka muende bar au restaurant mkale kuku chips yai na vinywaji mkimaliza kila mtu aondoke kivyake.
Binafsi nilimvumilia nikajua labda yeye hapendi mapenzi kabla ya ndoa, lakini kilichonishangaza nikaja nikapata taarifa kuwa yule msichana anatoka na ka sharobaro kamoja wanasoma nako huko chuoni kwao kutokana niko busy nilikosa mda wakulifatilia hilo, sikuamini tuhuma hizo,lakini haikupita tena mda mrefu kuna kijana akaja akaniambia kuwa msichana wangu anatoka na kijana mmoja hivi nae ni sharobaro wa mtaani tu na hilo siku lifuatilia pia kutokana niko busy sana kutafuta pesa.
Imepita takribani mwaka mmoja na kitu yule binti sijawahi kufanya mapenzi naye hata siku mmoja, tangu tumekuwa katika mahusiano swala la kufanya mapenzi na mmi amekuwa akilikwepa kila Mara, huwa hakosi sababu, ila mmi nimekuwa nikimhudumia tu kama mpenzi wangu kwa kuamini kuwa yeye hapendi mapenzi kabla ya ndoa, na mimi nilikuwa tayari kumvumilia mpaka ndoa kwa sababu nina mapenzi ya dhati kwake.
Mwaka huu 2017 amemaliza chuo,akaniambia nimsaidie kutafuta Kazi, kwa vile mmi hapa mjini nafahamiana na watu wengi sana ambao ni ma boss wa makampuni mbalimbali, kutokana na biashara nazo zifanya, nikampigia Simu rafiki yangu mmoja ambaye ni HR wa kampuni mmoja kubwa hapa Nchini,nikamuomba anisaidie kutafuta nafasi ya kazi hapo ofisini kwake,ili niweze kumsaidia yule msichana kupata kazi,yule HR alinihakikishia atampatia kazi yule binti ila aliniomba nimpe mda kidogo alifanyie Kazi swala langu.
Tukirudi upande wa pili wa huyu binti pamoja na jitahada zangu zote nazo zifanya juu yake nakumuonyesha Jinsi gani nampenda mpaka nikaamua kumvalisha Pete ya Uchumba Lakini yeye bado hanijali, hanionyeshi mapenzi ya aina yoyote huwa ananikumbuka tu Pindi akiwa na shida,lakini ukishamsaidia tu hakutafuti mpaka nimtafute mwenyewe.
Sasa mwaka huu pia nimepata taarifa kuwa huyo msichana kuna kijana mmoja anatoka nae,ikanibidi nifatilie tuhuma hizo nikagundua ni kweli, ila kilichonishangaza kijana mwenyewe anayetokanae hana mbele wala nyuma ni kijana wa mtaani tu kula kulala tu, nilishangaa sana tangu nimekuwa katika mahusiano ya kimapenzi sijawahi kufanya nae mapenzi hata siku mmoja kwa sababu alikuwa anakataa na kulikwepa swala hilo niliamini pengine haniamini labda anataka mpaka tuoane kumbe sivyo,mwezangu alikuwa anagawa kwa vijana wa mtaani tena buree! Hawagharamikii chochote.
Mwaka huu unavyoendelea kuisha Mungu amenijalia nimepata faida kubwa katika biashara zangu, nimepata million zaidi ya 50, nilikuwa nimepanga nimpatie million 20 ili afanye biashara ambayo anaipenda endapo kama angekubali kufunga ndoa na mimi, ili tujenge familia,lakini kutokana na Ujinga wake mwenyewe na kunichukulia mmi zoba,swala la kumtafutia Kazi kule ili afanye kabla hatuja funga ndoa nimelifuta na swala la kumuoa nimelifuta,lakini nashukuru pia nimeweza kuwa nae huyu binti katika mahusiano kwa muda wote huo alikuwa hajui minafanya kazi gani na alikuwa hajui Mali zangu,niliamua kumficha hivyo maksudi ili nije ni msuprize siku tutakapofunga Ndoa,ila nilichojifunza mwanamke kama hakupendi hakupendi tu hata umpe nni hawezi kuku penda!
Jambo jingine nilichojifunza wanawake wanaongozwa sana na (Emotional) katika mapenzi kuliko (logic),kwa nni nasema Hivyo?, (logical)mimi ndio mwanaume niliyekuwa nampenda kwa dhati huyo msichana lakini, (Emotional) yeye hisia zake zilikuwa zinawapenda hao vijana masharobaro wa mtaani ambao hawa msaidii kwa chochote!
Nawashauri wanaume wenzagu tuwe makini sana na hao wanawake tunaotaka kuwaoa lazima tuhakikishe wanakupenda Kweli sio kutu laghai, binafsi nakiri kabisa ule usemi wa Rafiki Yangu mmoja aliwahi kuniambia kwamba"ni rahisi kutafuta pesa ukaipata kuliko kupata mwanamke anayekupenda kwa dhati",kuanzia Leo sina imani tena na mwanamke,mimi ni mpole mstaraabu lakini huyu mwanamke alichonifanyia nimeamini wanawake hawapendi "Nice guy" ila wanapenda "Bad boy" halafu baadae huwa wanakuja kulalamika wanaume wabaya!,kumbe wao ndio wanaotafuta wanaume wabaya! (y)
 
Naomba uweke kwenye paragraph isomeke vizuri, huenda uko rough hadi kwenye mahusiano maana hii style yako ya uandishi aaaaa. Turudi kwenye Point, ukiona mtu hamuwezani kabisa kabisa na hamna hata ndoa, si unaachana nae tu? Kwani shida? Mnaachana kwa amani kabisa na mnabaki kuwa marafiki, sijawahi kuwa na ugomvi au kumchukia mtu...ule mchazo hautaki hasira kabisa.
 
Well.,Polee sana,ila on the other hanD haukua unajali
Umetonywa kitambo ila haukua willingly kufuatilia,what if ungefanya nae mapenzi na bado akaendele ku cheat!?..,
 
Umemaliza yote. Acha nikwambie kitu brother. Being nice guy is who you are, do change that. Be gentlemen and kuwa makini na choice zako.

Kaka mimi nililwahi kupitia tukio kama lako, ukiona dalili za kwanza kuwa mwanamke hakupendi, bail out man.usi force , wala kumhudumia.
Ukijidai baba huruma ndio hii unakuja kuumizwa.
Hawa baadae wanakuja kujuta huko mbeleni mambo yakisha chacha, ndio wanaanza kukutafuta.
 
Aya mambo ni magumu sasa unashangaa kuachana nae af hata mapenzi hamjawai kufanya? Wanawake all the time hawajui wanachotaka wengine utakuta mpaka mmetiana na bado analeta viswahili vingi sijui ni kutoridhika au vip..... We pita iv
 
kuna msichana mmoja nilimpenda sana na nilipenda huko mbeleni pengine aje kuwa mke wangu.
Huyo binti amemaliza Masomo yake mwaka huu, kwa Mara ya kwanza yule binti nilimtongoza mwaka Jana alikuwa bado anasoma chuo akanikubalia lakini cha kushangaza matendo yake yalikuwa hayaonyeshi kama ana upendo na mmi,alikuwa hanipigii simu wala kunitumia sms mpaka nimuanze mmi hata kama Ana credit utamuona Ana chati tu online na siku akini beep ujue anashida anataka nimtumie pesa.
Niki mwambia basi tutoke out tuka pumzimke somewhere labda lodge au hotelini hataki, yeye anataka muende bar au restaurant mkale kuku chips yai na vinywaji mkimaliza kila mtu aondoke kivyake.
Binafsi nilimvumilia nikajua labda yeye hapendi mapenzi kabla ya ndoa, lakini kilichonishangaza nikaja nikapata taarifa kuwa yule msichana anatoka na ka sharobaro kamoja wanasoma nako huko chuoni kwao kutokana niko busy nilikosa mda wakulifatilia hilo, sikuamini tuhuma hizo,lakini haikupita tena mda mrefu kuna kijana akaja akaniambia kuwa msichana wangu anatoka na kijana mmoja hivi nae ni sharobaro wa mtaani tu na hilo siku lifuatilia pia kutokana niko busy sana kutafuta pesa.
Imepita takribani mwaka mmoja na kitu yule binti sijawahi kufanya mapenzi naye hata siku mmoja, tangu tumekuwa katika mahusiano swala la kufanya mapenzi na mmi amekuwa akilikwepa kila Mara, huwa hakosi sababu, ila mmi nimekuwa nikimhudumia tu kama mpenzi wangu kwa kuamini kuwa yeye hapendi mapenzi kabla ya ndoa, na mimi nilikuwa tayari kumvumilia mpaka ndoa kwa sababu nina mapenzi ya dhati kwake.
Mwaka huu 2017 amemaliza chuo,akaniambia nimsaidie kutafuta Kazi, kwa vile mmi hapa mjini nafahamiana na watu wengi sana ambao ni ma boss wa makampuni mbalimbali, kutokana na biashara nazo zifanya, nikampigia Simu rafiki yangu mmoja ambaye ni HR wa kampuni mmoja kubwa hapa Nchini,nikamuomba anisaidie kutafuta nafasi ya kazi hapo ofisini kwake,ili niweze kumsaidia yule msichana kupata kazi,yule HR alinihakikishia atampatia kazi yule binti ila aliniomba nimpe mda kidogo alifanyie Kazi swala langu.
Tukirudi upande wa pili wa huyu binti pamoja na jitahada zangu zote nazo zifanya juu yake nakumuonyesha Jinsi gani nampenda mpaka nikaamua kumvalisha Pete ya Uchumba Lakini yeye bado hanijali, hanionyeshi mapenzi ya aina yoyote huwa ananikumbuka tu Pindi akiwa na shida,lakini ukishamsaidia tu hakutafuti mpaka nimtafute mwenyewe.
Sasa mwaka huu pia nimepata taarifa kuwa huyo msichana kuna kijana mmoja anatoka nae,ikanibidi nifatilie tuhuma hizo nikagundua ni kweli, ila kilichonishangaza kijana mwenyewe anayetokanae hana mbele wala nyuma ni kijana wa mtaani tu kula kulala tu, nilishangaa sana tangu nimekuwa katika mahusiano ya kimapenzi sijawahi kufanya nae mapenzi hata siku mmoja kwa sababu alikuwa anakataa na kulikwepa swala hilo niliamini pengine haniamini labda anataka mpaka tuoane kumbe sivyo,mwezangu alikuwa anagawa kwa vijana wa mtaani tena buree! Hawagharamikii chochote.
Mwaka huu unavyoendelea kuisha Mungu amenijalia nimepata faida kubwa katika biashara zangu, nimepata million zaidi ya 50, nilikuwa nimepanga nimpatie million 20 ili afanye biashara ambayo anaipenda endapo kama angekubali kufunga ndoa na mimi, ili tujenge familia,lakini kutokana na Ujinga wake mwenyewe na kunichukulia mmi zoba,swala la kumtafutia Kazi kule ili afanye kabla hatuja funga ndoa nimelifuta na swala la kumuoa nimelifuta,lakini nashukuru pia nimeweza kuwa nae huyu binti katika mahusiano kwa muda wote huo alikuwa hajui minafanya kazi gani na alikuwa hajui Mali zangu,niliamua kumficha hivyo maksudi ili nije ni msuprize siku tutakapofunga Ndoa,ila nilichojifunza mwanamke kama hakupendi hakupendi tu hata umpe nni hawezi kuku penda!
Jambo jingine nilichojifunza wanawake wanaongozwa sana na (Emotional) katika mapenzi kuliko (logic),kwa nni nasema Hivyo?, (logical)mimi ndio mwanaume niliyekuwa nampenda kwa dhati huyo msichana lakini, (Emotional) yeye hisia zake zilikuwa zinawapenda hao vijana masharobaro wa mtaani ambao hawa msaidii kwa chochote!
Nawashauri wanaume wenzagu tuwe makini sana na hao wanawake tunaotaka kuwaoa lazima tuhakikishe wanakupenda Kweli sio kutu laghai, binafsi nakiri kabisa ule usemi wa Rafiki Yangu mmoja aliwahi kuniambia kwamba"ni rahisi kutafuta pesa ukaipata kuliko kupata mwanamke anayekupenda kwa dhati",kuanzia Leo sina imani tena na mwanamke,mimi ni mpole mstaraabu lakini huyu mwanamke alichonifanyia nimeamini wanawake hawapendi "Nice guy" ila wanapenda "Bad boy" halafu baadae huwa wanakuja kulalamika wanaume wabaya!,kumbe wao ndio wanaotafuta wanaume wabaya! (y)
pole si fungu lako yupo wako aliyeandaliea kwa ajili yako
 
Afadhali umefikia uamuzi wa kumwacha!!! Huyo hajakomaa kiakili wala hajui kujitegemea, ni kula kulala kama masharobaro wanaomchukua. Kata mawasiliano kabisa, akikubeep usimpigie, endelea na shughuli zako. Nakwambia iko siku atakuja kugundua ukweli na atakuja kukupigia magoti umsamehe, kuwa ulikuwa ni utoto tu unamsumbua!! Time will tell...............
 
Tunajifunza kutokana na makosa, Dada zetu ndvyo walivyo anakopendwa yy hapendi na anakopenda yy hupendwa kwa ajili ya kutumiwa ila cyo kwa malengo.

Pole sana mkuu.
 
Nilivyaanza kusoma mwanzo nilikua nakutukana matusi makubwa makubwa. Kumuacha ulichagua fungu jema!!

Ngoja ninywe kwanza maji povu litulie, ningepigwa ban kwa ajili yako!!
 
umemaliza vizuri huko mwisho. Wanawake wa kileo hawapendi Gentleman bali wanapenda sharos wale wavaa suruali matakoni, ama sometimes wezi, na rough zingine. mpaka akiona umri umeenda bila ya ndoa ndio hapo sasa anapotafuta the most mpole na kumsifia sana, utasikia "jamani kaka mpole nyieee"
 
Subira Yangu ndio ilonipooonzaa.. Mpaka sasa naonekana zooobaaaa...

By banana zoroo
 
Mwanamke kwa kawaida huwa ana aina tatu za wanaume maishani mwake.
1. Buzi. Huyu huwa ni mtoaji yaani anachunwa ila papuchi huwa halambi labda kwa kulazimisha sana tena kwa machozi. Hii type ya kwanza huwa inadharauliwa sana na kuzodolewa sana na mwanamke husika. Huwa haipewi nafasi ya kuridhisha mwanamke kwani huwa ina force kupata kitu hivyo huwa na fasta akitupa kimoja anavaa pichu fasta anasepa na mwanaume huwa anaridhika kabisa kumbe kaliwa.
2. Shalo au muuzia sura. Huyu ni yule ambaye akitaka kutoka hata kwenda sokoni huambatana wote. Huwa anapenda kuuzia sura sana hawa wengi ni wale wavulana wenye sura za mama zao. Kundi hili pia huwa hawalambi kitu ama wakilamba ni mara moja moja sana.
3. Jembe. Huyu yeye aweza kuwa hata anauza mkaa mchafu mchafu hivi ila kazi anapiga ile mbaya. Huyu huwa hadi anaongwa pesa. Huwezi kuta anaambatana naye sehemu yoyote lakini akitaka.wakati wowote anapata kitu. Hata akishaolewa huwa anamtafuta tu amkune. Jitathimini wewe mwanaume uko nafasi ipi.
 
uandishi hauko poa jitahidi uwe unatumia aya..

nimesoma vizuri nikakuelewa, kinachokuuma umehonga sana hela zako umetoka patupu hujaigusa papuchi yake, wakati vijana wa mtaan wanamegewa bure bure...usikute hata hizo hela ulzokua unahonga kuna mibwege ya mtaani ilikuwa inalipiwa full msosi, gharama za logde/hotel kila kitu na free papuchi pole sana haya maisha hayajawahi kuwa fair mkuu.
 
Mapenzi si pesa ulidhani labda atakuelewa kirahisi kisa unampa pesa za matumizi? Hao masharobaro unaosema hawana mbele wala nyma ndo wanao mpa raha ya mapnzi. Jifunze kusoma alama za nyakati
 
Mwaka huu unavyoendelea kuisha Mungu amenijalia nimepata faida kubwa katika biashara zangu, nimepata million zaidi ya 50, nilikuwa nimepanga nimpatie million 20 ili afanye biashara ambayo anaipenda endapo kama angekubali kufunga ndoa na mimi

Nilichokielewa ni kwamba hii paragraph ndo ujumbe unaotuletea ili wanawake wanaotaka ndoa wakutafute, maana kwa moyo huu wa kutoa mil 20 ya mtaji si mchezo.

Watakuja mkuu.
 
Back
Top Bottom