Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Hivi jamaa utakuwa mwenyeji wa wapi maana kuna makabila mtu sura ni kama anakwenda kumbe anakuja Hahaaaa jokesAtakua Mbongo Fleva maana wanavaa hadi sketi na wanaitwa swaga.
Skuizi wana vaa hereni, wanapaka poda na wanabana hadi sauti na midomo wanabinua....Atakua Mbongo Fleva maana wanavaa hadi sketi na wanaitwa swaga.
Kama mawaida......sasa huyo ukimuomba mtandao pendwa,ana uwezo wa kukataa?
Alafu mkuu.......
hahhaha mkuu nimeuliza tuu mi hua sifanyi huo ujinga mkuu,naanzaje kumshikisha mtu matofali mkuu?Kama mawaida......
Mabazazi hamkosekani kukamata fursa....
Tumepoteza nguvukazi ya taifa aiseeee......Tena kaweka na pozi kabisa. Daah pole yake.
Tena kaweka na pozi kabisa. Daah pole yake.