Daaah huyu kaka pepo ataisikia kwa jiran yke, yaan hana hata roho ya huruma yaan unafanya dhambi mpaka shetan mwenyewe anashangaa sio vzr kabisaaa
Wanawake hakuna wanaume anaekupenda akakwambie mfanye mapz kinyume na maumbile, hakutakii mema tuache kujaribu jaribu kila kitu.