Kwa issue hii,Gwajima atawakosa waumini Wake wengi kwani matendo yake hayatoi nafasi kwa waumini kuendelea kumuamini Tena.
Njoo jionee mwenyewe nipo viwanja vya Tanganyika Packers utadhani leo Yesu anarudi kulivyoshonana!
Hii kashfa imemuongezea umaarufu Mtumishi wa Mungu!
Hamna hata pa kuweka mguu lol!