madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,498
- 2,927
Sema kweli?Na nyie mnadanganywa kisawasawa..teh
Sema kweli?
Na nyie mnadanganywa kisawasawa..teh
SiSI TUNAWADANGANYA ILA WAO WANATUAMBIA UONGO.Binafc naona hasa kwenye masuala ya mapenzi kua mkweli kwa kila kitu unaonekana huna maana.Mimi lazima nimdanganye mwanamke nishajifunza wewe akikuambia nataka cm hata kama huna uwezo wa kununua mwambie utapata
My dear nataka gari mwambie mwaka huu hauishi utapata .nataka Kiwanja mwambie namchongo wangu wa pesa ukikamilika tu utapata mama.ukweli mi nadanganya saana.na miaka inaenda tu tuko pamoja.Mungu alicho wajaalia wanawake huwa wepesi saana wa kusahau akikukomaliaa jambo mwezi mwingi kasahau.anaanzisha jingine. Maisha hapo yanasonga tuuu.mi Shemeji yenu nishamuahidi mpaka ndege huu mwaka wa nane sasa yupo tu.
Jaman wanaume ili maisha yaende tuwadanganye saaaaana wanawake zetu japo sio kwa kila kitu. Kama kunajambo anataka na unauwezo nalo fanya kama huna uwezo nalo mwambie ntafanya we akitaka gari wakati hata we boxe huna mwambie mwaka hauishi utapataaa.jaman hapo Mungu alitupendelea saana sisi wanaume Hawa viumbe kua chini yetu
Cpati picha kama tungekua chini yao tunge nyanyasika saaana.hebu wanaume tunyanyue mikono juu kushukuru Mungu.haya kwa pamoja tuseme hapo tulipo wanaume hoyeeeeeeeeeeeeeeee tuitike kwa pamoja oyeeeeeeeee mwisho jaman naombeni wanaume popote tulipo tuwadanganye saaaaana wanawake ili maisha yaendeleee.
Sasa nyie mnatudanganya kwa lipiNa nyie mnadanganywa kisawasawa..teh
HuhuNa nyie mnadanganywa kisawasawa..teh
Hapo nakubaliana na weweIn short wote tunadanganyana tu hivyo ngoma ' droo '.
We unaonaje?Sema kweli?
Subiri siku yakukuteSasa nyie mnatudanganya kwa lipi
Thubutu sasa mi mwanamke atanidanganya kwa lipi labda akagongwe nje na hapo sio kunidanganya Bali huo ni usaliti mi nimesema tuwadanganyeni saaana nyie kama ww ulivyo mzur sema nikununulie nini mamaaSubiri siku yakukute
Huna ubavu wa kuninunulia hata pipi. Sikuhizi hatuwategemei tena, utawadanyanya vitoto vya chuo mkuu. Not me muhenga!Thubutu sasa mi mwanamke atanidanganya kwa lipi labda akagongwe nje na hapo sio kunidanganya Bali huo ni usaliti mi nimesema tuwadanganyeni saaana nyie kama ww ulivyo mzur sema nikununulie nini mamaa
Hahahahaha we mama njo nikupe rahaaaaHuna ubavu wa kuninunulia hata pipi. Sikuhizi hatuwategemei tena, utawadanyanya vitoto vya chuo mkuu. Not me muhenga!
Endelea kua mkweliDadeq me siwezi danganya kama hutak ukweli just follow your path