assuredly4
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 1,216
- 220
Ni jambo la kawaida maana ni shughuli kukaa robo mwaka bila kukata kiu!!! Ila kumbuka kutumia dawa ya penzi kila unapojivinjari huko ugenini......
wanaume wa humu kwa kujifanya watakatifu, jama jama, kama kweli vile...!!! kumbe asilimia 99.9 ya wanaume humu wana nyumba ndogo ilihali wako na wako zao mji mmoja. hebu mwambieni mwenzenu mnayofanya nyie acheni kumdanganya. kaomba vizuri anataka kusikia toka kwenu WANAUME mnajikanyaga tu hapa na ushauri wa uongo muonekane mwajali sana ndoa zenu.
ukifanyika mtoto wa Mungu unapewa uwezo wa kushinda dhambi amabo ndio uliokuwemo ndani ya Yesu Kristo aliyeishi duniani zaidi ya miaka 30 bila kufanya dhambi
hilo ndilo suiluhishopekee wengine watakupa ushauri mwepesi ambao hautadumu
utakuwa una walakiniAhaaaaa kazi ipo? Miezi mitatu kusastain unashindwa mbona mimi nina miaka mitatu?
Wanawake tumekatazwa kuchangia bora nipite zangu
Tayari ushachangia tena, ulitakiwa upite kimya kimya utuachie wenyewe...
Mmmhhh una roho mbaya wewe hata salamu nisitoe jamani???