Wanaume tuu!!!

Mkubwa ! Mchuo it's remained the only way to overcome the matter ! Kujichua huko kusiwe kwa mara kwa mara.
Kwatakiwa kuwe kwa nadra sana, kwani kukipitiliza kuna side effect. Hakikisha kachupa kako ka vaseline petroleum- jelly hakakosi ndani ya bagi.
 
Smile hapa wamekaribishwa wanaume tu.......endelea kujisomea no comment:eyebrows:
 
Na yeye ni mfanyakazi, somewhere alafu kazi yake inamuhitaji sana hawezi kutoa excuse za kijinga jinga akaeleweka labda achukue likizo, ishu inakuja je atachukua likizo mara ngapi?

Hata weekend; mikoa mingi kuna ndege!
 
Ahaaaaa kazi ipo? Miezi mitatu kusastain unashindwa mbona mimi nina miaka mitatu?
Kuna wanawake wengine wanawashwa sana ,yani hii thread inahusika na wanaume, lakini wanawake wengine wakisikia tu wanaume lazima wajitokeze mbele.

Afu na uwongo juu, ataweza kukaa miaka mitatu bila kuguswa huyu...Au ndo wale hawapati siku zao.
 
Ahaaaaa kazi ipo? Miezi mitatu kusastain unashindwa mbona mimi nina miaka mitatu?
Ulitumia mbinu gani?? kama ni mwanaume lakini kama ni mdada naomba usije ukanishauri kwa kutumia HIASEIZI...lol
 
Du! huu uzi umenikumbusha mbali, alafu hawa akina dada wanaochangia humu sijui wanataka nini awajui hii ni kama kitchen part.

Mie kaka nimeshaacha mke kwa ajili hizi kazi mara leo nipo Kigoma, mwezi ujao nipo Tanga, We omba mungu tu ndoa yako idumu basi mambo mengine yakizidi yamalize kiume, na yeye huko atamaliza kike, bora upendo na amani viwepo katika nyumba, ile kitu ni kama halua haina makombo.
 
Ni nini kinakuwezesha kuyashinda majaribu kwa siku moja? Wiki moja? Mwezi mmoja? kama unaweza kuvumilia kwa mwezi mmoja, nini kinashindikana kuendelea na miezi mingine?

Kumbuka ugumu wa kupanda mlima mara nyingi huanzia karibu na kilele
 
Smile hapa wamekaribishwa wanaume tu.......endelea kujisomea no comment:eyebrows:

Tena asavali umemwambia! Mi nilikua namionea aibu ! Bora mwenzangu uso wa Mbuzi , hujam'mungunyia umetomboka! Mbona kwenye mkaribisho wao pekee sie hatutii maguu ? Na tukiyatia usishangae tukaitwa majina kama Choko, Bwabwa with related matter.
 
tena asavali umemwambia! Mi nilikua namionea aibu ! Bora mwenzangu uso wa mbuzi , hujam'mungunyia umetomboka! Mbona kwenye mkaribisho wao pekee sie hatutii maguu ? Na tukiyatia usishangae tukaitwa majina kama choko, bwabwa with related matter.
mmmh samahanini wakuu
 
Mwanaume mzima ovyoo kabisa, unaona raha kucheat. Dawa yako ipo jikoni Ukimwi unakusubiri. Kwa mwendo huu ukimwi hautaisha, namuonea huruma mkeo na watoto wako.
 
Mwanaume mzima ovyoo kabisa, unaona raha kucheat. Dawa yako ipo jikoni Ukimwi unakusubiri. Kwa mwendo huu ukimwi hautaisha, namuonea huruma mkeo na watoto wako.


Matumizi mabaya ya hili jamvi, mimi nimeomba ushauri kutoka kwa wanaume tuu, ambao wanalielewa vizuri hili tatizo.
 
Mwanaume mzima ovyoo kabisa, unaona raha kucheat. Dawa yako ipo jikoni Ukimwi unakusubiri. Kwa mwendo huu ukimwi hautaisha, namuonea huruma mkeo na watoto wako.

Ya wanaume waachie wanaume.
 
Naomba kujua ndege inayopiga ruti kati ya Mpanda na Dar

Alafu kaka inategemea jinsi mfuko wako unavyosoma, sasa leo mpandishe ndege aje akae siku mbili asepe, Alafu mara nyingine upelekwe chaka la Manyara likawa halisomi hesabu vizuri, mama anategemea utamrushia tiketi ikawa sivyo.! ndio ugomvi utakapoanzia hapo kwamba tayari una mwingine uko nae huko.
 

Jamaa anajua lakini ni fujo tuu, hivi kwa kipato gani mtu uwe unadandia pipa mara kwa mara kiasi hicho tena kwasababu za kifamilia?
 
Ukiamua tu utaweza. Ila ukisha jiwekea mwenyewe limit ya mwezi na nusu basi utapata shida. Hakuna kitu mwili unaweza kulazimisha ikiwa roho yako inakataa kwa msimamo wa nguvu. Who gives orders?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…