umechemsha ,mbona mi nina mlinzi na sina shower nyumbani ,we unajua shida ya maji tabata au unaisikia maji yanakata wiki hayatoki so tusioge coz tuna walinziHii ni habari yenye fundisho, lakini inafanana na hadithi ya kutunga maana ndani yake hakuna uhalisia: jiulize ni MTU gani anaweza kufikia hatua ya kuwa na mlinzi nyumbani kwake na bado analelekewa maji bafuni!!!!?????, yaani nyumba inamlinzi harafu baba anaogea bafu la nje!!!???, hakuna master bedroom!!??. Ngashtuka m
Ndoa zina mengi. Hiyo ya maji inaweza ikawa geresha tu.
pale imetumika lugha ya picha kwa hyo we ulitaka aseme huyu mwanamke hatak KUNIPA papuch n.k
mnaaziiiiiiii mungu kashasema tuwapige wake zetu, wewe nani useme tusiwapige wake zetu na wakati mnyaziiiiiii mungu kashasema...? :angry:
4:34 sahih international
men are in charge of women by what allah has given one over the other and what they spend from their wealth. So righteous women are devoutly obedient, guarding in absence what allah would have them guard. But those from whom you fear arrogance - advise them; forsake them in bed; and strike them. but if they obey you seek no means against them. indeed, allah is ever exalted and grand