Hujatwambia Ni kwannTangu kaka angu anifundishe ishu za mabinti na hadi aliponikabidhi cheti rasmi kwamba nimehitimu na naweza sasa kutumikia Taifa katika kipengele hicho cha mgegedo sijawahi kumwambia mtoto wa kike tuachane, au sijui mimi nawew basi au sijui sikutaki tena sijawahi kabisa, kipindi nipo katikati ya mafunzo ya mapenz nilisisitizwa ni mwiko kufanya hivyo kwa mwanaume..
So nimeona niwakumbushe wanaume wenzangu kutokufanya hilo kosa,
Wasalamu,
wenu katika ujenzi wa Taifa
likozo time.....Tangu kaka angu anifundishe ishu za mabinti na hadi aliponikabidhi cheti rasmi kwamba nimehitimu na naweza sasa kutumikia Taifa katika kipengele hicho cha mgegedo sijawahi kumwambia mtoto wa kike tuachane, au sijui mimi nawew basi au sijui sikutaki tena sijawahi kabisa, kipindi nipo katikati ya mafunzo ya mapenz nilisisitizwa ni mwiko kufanya hivyo kwa mwanaume..
So nimeona niwakumbushe wanaume wenzangu kutokufanya hilo kosa,
Wasalamu,
wenu katika ujenzi wa Taifa
Mwanaume anayejitambua hawezi kufanya hilo kosa labda uwe umemwoa kabisa[emoji23]Tangu kaka angu anifundishe ishu za mabinti na hadi aliponikabidhi cheti rasmi kwamba nimehitimu na naweza sasa kutumikia Taifa katika kipengele hicho cha mgegedo sijawahi kumwambia mtoto wa kike tuachane, au sijui mimi nawew basi au sijui sikutaki tena sijawahi kabisa, kipindi nipo katikati ya mafunzo ya mapenz nilisisitizwa ni mwiko kufanya hivyo kwa mwanaume..
So nimeona niwakumbushe wanaume wenzangu kutokufanya hilo kosa,
Wasalamu,
wenu katika ujenzi wa Taifa
Heheh nimecheka sana mkuu ,kwamba washaanza kurudi toka shule [emoji16][emoji16]likozo time.....
Ndo manakeKumbe ndo maana wakaka wengi hawanitamkii kua wameniacha
Boss kna kipind inakbd useme maana kna Dem nimegonga muda Kama miez mi2 hv nikaja Gundua kuwa Ni mke wa mtu nikabdl namba kabisaa akanitafta mpka akanipata nikajtahd Sana kumkwepa kwa kumtamkia maneno makal lakin wap ikabd niwe mbabe Sana nikamwambia simtak na matusi makal ndo akaacha kunifatalia Kama miez 4 baadaye akaanza Tena hv natafuta Neno ambalo hata sahau had leo ananfatilia sjui nimwambie nn I'll anieleww khaaah!!!Tangu kaka angu anifundishe ishu za mabinti na hadi aliponikabidhi cheti rasmi kwamba nimehitimu na naweza sasa kutumikia Taifa katika kipengele hicho cha mgegedo sijawahi kumwambia mtoto wa kike tuachane, au sijui mimi nawew basi au sijui sikutaki tena sijawahi kabisa, kipindi nipo katikati ya mafunzo ya mapenz nilisisitizwa ni mwiko kufanya hivyo kwa mwanaume..
So nimeona niwakumbushe wanaume wenzangu kutokufanya hilo kosa,
Wasalamu,
wenu katika ujenzi wa Taifa
akikujibu nijulishe...katoto hakaUna uzoefu miaka mingapi.....?