Wanaume tupunguze tamaaa za kimwili

Wanaume tupunguze tamaaa za kimwili

Tatzo apo nikutelekezewa mtoto ila kuzaa kwake sio tatzo ata nae ana haki.
 
Bonjour

Duu Leo nimekutana na mdada mlemavu wa miguu, Yani anafanya movement Kwa kutambaa na magoti, Cha kushangaza zaidi yupo na mtoto wake kama wa miaka 4 hivi,

Akilini kwangu ni kawaza , sijui ni mwanaume gani mwenye nyege namna hiyo, kafanya nae mapenzi, mbali Zaid kamzalisha, na kumuachia mzigo wa kuzunguka na mwanae juani, Kwa kuomba omba

Yani Kwa mwanaume wa kawaida Si Dhani kama unaweza kupata hisia na kudindisha na kuitafuna mbususu ya huyu dada, Kwa jinsi alivyo ..

Aisee sisi wanaume tuna nyege kali sana.. Yani sisi tukiona maumbile ya kike tu, kichwa Cha juu kina dead Kwa muda then kichwa Cha chini ndio kinakuwa active..
Ww umejuaje kama kamkimbia je kma ni mumewee
 
That is nature ili tuzaliane ingawa huyo mtoto pia anaweza kuwa si wake ikawa ni mbinu tu ya kutafuta huruma.
 
Shida ni kuzalishwa na kutelekezwa.
Kama alifanya kwa ridhaa yake mwenzio aliinjoi mech na kujiona wathamani
 
Binadamu waone HIV HIV, sie wanaume tu fantasy za, ajabu sana, kuna jamaa yangu, tulipokuwa chuo,, ye ye alikuwa anavutiwa sana na wanawake walemavu na albinos, huo ndio ulikuwa ugonjwa wake,
 
  1. Umejuaje kua huyo mtoto ni wake?
  2. Umejuaje kua huyo mtoto alimzaa akiwa mlemavu tayari? kwani haiwezekani kua alipata ajali baada ya kuzaa ikampelekea kua mlemavu?
  3. Ulitoa msaada wowote kwa huyo mlemavu au kwa huyo mtoto? au umekimbilia tu JF na kuja kuanzisha thd?
 
Back
Top Bottom